Kwa kipindi kirefu kulikuwa na sintofahamu kuhusu ni lini orodha ya watu waliopata ajira mpya za serikali katika kada ya Afya zitatoka.
Hatimaye siku ya leo serikali kupitia wizara ya Afya wametoa orodha ya waajiriwa wapya kwa mwaka 2012/2013 zikiwa za madaktari, wauguzi, maafisa tabibu nk.
Orodha iko kwenye tovuti ya wizara ya Afya www.moh.go.tz
Bahati mbaya sana imekuwa ni kilio kwa watu wengi waliokuwa wakizisubiri kwani ni wachache katika wengi ndio wamepata.
Nafikiri usumbufu wa watu kuja kuuliza uliza tetesi humu JF utapungua sasa.
*Nawapa pongezi wote waliopata ajira hizo na sasa nendeni mkawahudumie watanzania wanyonge huku mkiwapa hasama za kupambana na mkoloni mweusi.
Pia nawatia moyo wote waliokosa ajira hizo na sasa ni kuendelea na mapambano katika vita ya kumtokomeza mkoloni mweusi popote pale. Aluta continua!!!