Hujawah kuskia kama walkuwa na joka kijijin kwao kipindi cha zaman!! Wale nao ukiulza historia yao ni shda tupu! Matajir wengi zaman walikuwa wanaenda kwa waganga wanapewa ndagu! Sio kama sasa hvi watu wanafanya biashara kisomi zaidi!
Tena hao CDM walijiandaa wakisema tunasubir wampitishe huyu fisadi (El) , sasa hiv wanajifanya mazezeta hawajui walichokisema. Na walitangaza ushahid wanao leo wanasema mwenye ushahid ajitokeza kwa El!UPUUZ MTUPU! Huku si kuchezea akil za watanzania! Wasiojitambua ndo wanaowasupport.
Siasa bhana! Mtu analala na kijani anaamuka na gwanda! Tetetetete!! Mwaka huu tutaona mengi! Kama alkuwa na mapenz mema na ukawa angehama kabla ya kukatwa! Sasa hv ni unafiki tu! Mgeni njoo mwenyej apone!! Kuna ktu nyuma ya pazia!
Kwanza hongera sana! QT si mchezo. Mm nakushaur usome HKL au HGK kama geography unaiweza. Pia kama nafas inaruhusu soma miaka miwil. Utafanya vzur sana. Mm nna mfano hai!
Mimi naona upate muda wa kutafakari na kumshirikisha Mungu akusaidie kwa hili. Watoto wapeleke bording ya karibu kiasi kwamba uwe unaenda kuwaona kirahis. Mdogo kama mama yupo mwambie akusaidie kumlea wakat hujachukua uamuz kip ufanye. Unahitaji mda wa kutulza akili kabla ya uamuz wowote. Maamuz...
Mnajiangalia upande wenu!!
Sometime nyie ndo chanzo. Mtoto wa watu anavumilia mpaka anafika mwisho. Akichukua maamuz ndo mnaanza kusema wanawake wakatili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.