Recent content by ng'wabuki

  1. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Mbona wahadhiri hamgomi? au kwakuwa wanachuo wenu wamefunga?
  2. N

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    Walimu nao wanaelekea kugoma, wahadhri wao wanajikongoja japo nao hali mbaya isipokuwa hawana chama chakuwasemea nao hali ngumu kodi kibao, wanakuwa promoted hwalipwi kama walivyokuwa promoted
  3. N

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    Hajasema mshahara hauwatoshi, issue hapa ni kuwa wanadai kwa muda mrefu na hawajalipwa na kumbuka wanaelekea mwaka mwingine wa fedha maana yake upo uwezekano wakutopew ama kulipwa
  4. N

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    Higher learning si wapiga wala wasimamizi wa wapiga kura. Mara ngapi umemsikia waziri ama Mh magreth Sitta mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ustawi wa jamii katembelea university yoyote japo yapo malalamiko kama hayo kuyajua kwa undani? Hata mbunge tu yeyote ulishasikia akiomba nyie mlipwe haki...
  5. N

    Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu.

    Peace ipi mnayopromote nyie hamnazo? Popote mlipo ni kujitahidi kupunguza wakristo tu. Idara ngapi zinazoongozwa na waislamu wenzenu zinaangalia kuhubiri na kupanua uislamu hata kama wanatakiwa wafanye kazi za umma? Ndalichako hapo mnamwonea tamkeni hadharani mnamtaka wa dini gani akae hapo...
  6. N

    Mengi yanayosemwa kuhusu UDOM kwenye soko la ajira si kweli.

    kale ka tabia kenu kakulipa hela kwa yule mwalimu wa kike kule chuo cha walimu awabadilishie marokeo mmeacha? au badokanaendelea kwa watroro wnye pase na wale wasiokuwa nacho kuendelea kungja sap?
  7. N

    Kumlazimisha Nassari kuomba radhi ni bora zaidi kuliko kumtetea!

    Kwani hujui kuwa hii ni serikali ya masheikh na ustaadha?
  8. N

    Shukuru Kawamba unajisikiaje hali hii

    waziri kashindwa hata kusimamia salary arreas za walimu na wahadhiri mbalimbali ataweza hilo la madawati? Haya hiyo chenji ya rada nayo imeingia labda hao wanaosomea hapo chini ya mbuyu watanufaika. Ukweli mheshimiwa waziri walimu na wahadhiri wananyanyasika sana na mishahara kuchelewa na...
  9. N

    JK kuifumua CCM - AITISHA GHAFLA VIKAO VYA CC NA NEC DODOMA

    Umesoma gazeti mkuu lenye habari ya UDOM?
  10. N

    Serikali ya CCM haya ndo maisha bora kwa mshahara wa 180, 000/= nyie mnalipana ngapi Bungeni?

    Nyongeza ya nini mheshimiwa rais wakati ule mshahara wa mpya wa mwaka jana bado tunadai na hatujalipwa ule wa mwezi wa julai na agosti? Au ndo mmeamua kuwastua wafanyabiashara wapandishe bei ya vitu vyao kuwakomoa wanaodai nyongeza ya mshahara kila mwaka? Mheshimiwa rais utambue kuna watu hata...
  11. N

    Serikali ya CCM haya ndo maisha bora kwa mshahara wa 180, 000/= nyie mnalipana ngapi Bungeni?

    Nyongeza ya nini mheshimiwa rais wakati ule mshahara wa mpya wa mwaka jana bado tunadai na hatujalipwa ule wa mwezi wa julai na agosti? Au ndo mmeamua kuwastua wafanyabiashara wapandishe bei ya vitu vyao kuwakomoa wanaodai nyongeza ya mshahara kila mwaka? Mheshimiwa rais utambue kuna watu hata...
  12. N

    Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa kimenuka tena mgomo waendelea

    Kwani Prof Mushi si kuku anaeatamia kama wa chuo fulani mpaka aondolewe?
  13. N

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Dr unadhalilisha taaluma hata kama wewe ni mtaaluma wa siasa na mdau mkubwa wa ccm
  14. N

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    hayo yanatokea kwa wakubwa huko juu. Je mwayafahamu ya college of education? non academic staff wana review courses? mwafahamu pia kuwa wako wachache tu ambao malipo yao lazima yalipwe siku hiyo hiyo ya kikao chao lakini invigilation na vikao vya course review walizofanya wasioitwa colleagues...
Back
Top Bottom