Ndiyo nini hapo pekundu?Wanachonifurahisha hapa ni "sababu ya kugoma" Wengine " wakati ma dr wakawaida wanadai maslai bora specialist wao aaah "hatuwezi kufanya kazi peke yetu" kwa hiyo wakiletewa watu watanya sio
Ndo maana tunaunga mkono mgomo ili kuboreshweMuhimbili hali ni mbaya kila siku hata wakiwepo hao madaktari bingwa.
Ngoma inogile.
Waache wagome na wao wakiumwa wataletwa hapo hapo Muhimbili.
Dhaifu will perfom his ritual services of threats and blames instead of work his dull mind for some solutions. If nurses happen to join hands then the conditions will so demand we go to absolutes i.e. dealing Dhaifu and his silly party to the decks.
Nadhani wewe ndio huwaelewwi vizuri madaktari. Hawamlazimishi ila wanaeleza ukweli wao kwa kadiri wanavyojua. Wamewafukuza maintern ambao ndio uti wa mgongo wa ufanyaji kazi hospitalini popote penye hadhi hiyo ya kuwa na maintern. Sasa unataka mabingwa wafanye clarkship na kufukuzia majibu ya maabara? Kama ungejua kazi za maintern ambazo serikali inazisogeza kwa mabingwa wala usingeeleza uliyosema. Mabingwa wanaona wagonjwa wachache tu kwa siku na ni wale walioshindikana kwa wengine. Kazi wanazobebeshwa sasa walishazipitia zamani na wanajua maumivu yake.Duu, mbona wameielewa vibaya hotuba, au wameshapata kazi sehemu zingine? Kama mwajiri wako hataki kukulipa unachokitaka kwa nini unamlazimisha?
Aisee! Kazi imeanza!
Mhhhhhhhhhh!!!!!!!!!! kumbe ni Tume ya katiba nimekumbuka!!!! Hivi nani ana simu ya zimamoto hapa jamvin kwasababu naona makanisa yapo katika hali hatarishiSt. francis, Bugando, Kcmc ndizo zinazoongoza kwa migomo.
serikali iangalie upya MoU
Wanachonifurahisha hapa ni "sababu ya kugoma" Wengine " wakati ma dr wakawaida wanadai maslai bora specialist wao aaah "hatuwezi kufanya kazi peke yetu" kwa hiyo wakiletewa watu watanya sio