Recent content by Nguyeyo go

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Nyie munaamini katika kuua kwa kutetea dini mojakwamoja mnapokelewa mbinguni:what:
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Wange tumia diniyakikiristo tungesema niwakirsto lakini kwa nini uisilamu:confused:
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Mkuu kamaunabisha nikutumie ile video yawale vijana wa Tanga wanadai wanapigania dini ya allah
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi ni balaa

    Mkuu ulikua umesha gusa nini?make beki tatu akinasa mpira tu nibaraa uwaga wanabana sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jamani tunaelekea wapi...??

    Kama ni makosa, mwenye makosa ni mwanaume, Kwanini asikate ya Mme wake?
  6. N

    JamiiForums Tanzania "Wa Mikoani", Ni Kasumba ama ina maana gani?

    Wakai huo panya road wakiingia wanakimbia familia zao:what:
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ipi ni tafsiri sahihi ya hili neno, Adam na Eva 'Kula tunda la mti wa katikati'?

    Mkuu Bwana YESU asifiwe......naomba niongezee Hilo inaonekana lilikuatunda kama tunda lilivyo,pia inaonekana toka mwanzo walikua uchi ila kwasababu tunda lenyewe lilikua la mema na mabaya ndo maana baada ya kula tu ufahamu ukawajia haa kumbe tu uchi! Lakini pia chakushangaza Dunia yaleo tumeacha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Jogoo hafi kwa utitiri Filisika tujue tabia ya mkeo Heshima pesa ndevu hata mbuzi anazo Sikila anaekwambia i love you anakupenda wengine wanajifunza kuongea kiingereza
  9. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa mitandao ya simu nchini

    Kumbe Msukuma! Angekua mchaga au muhaya hapo ndo ningeungana na ww
  10. N

    JamiiForums Tanzania Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

    Utasubiri sana wapate ziro hadi miguu itakakamaa hawa ndo wananunua hadi majibu unawakuta wana one alafu kwenye usaili awafanyi kazi wanapata uwakute ifisini sasa utakoma
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Hapo umenena namtoa mada kwanza angalie hao polisi wanvyo vunja haki kwenye mandamano Kwanza wenyewe ndo wavunja sheria
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Nilisikia kunakampuni moja kutoka malyesia inakujua jamani imefika wapi?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Waliomchinja Katibu wa CCM Kahama wakamatwa, Yumo pia diwani wa CCM

    :thumbup::thumbup::thumbup:
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kamba iliotumiwa kumnyonga Saddam Hussein yavutia dola millioni 7

    Yeye kakwambia chanzo ni BBC
Back
Top Bottom