Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Bora hao wakubwa, wale wa darasa la kwanza ARUSHA umewaona?
Tena wanafanyana kinyume na maumbile.
Mungu atunusuru kizazi cha nyoka.

dah!hyo nimeiona mkuu tena wanatumia na ndom ..... kweli tunaelekea mwisho.....
 
dah!hyo nimeiona mkuu tena wanatumia na ndom ..... kweli tunaelekea mwisho.....

Hivi hakuna uwezekano kuwa lengo lao ilikuwa kuigiza yale wanayoyaona kwenye filamu na si kwamba walikuwa katika mahaba as such?
 
Mnasema Mungu atunusuri ilihali hamumwombi...... Mtachora angani
 
Mimi naona serikali ingefuta tu elimu hapa tanzania , tufanye mambo mengine
 
Hakuna cha kuharibu watoto!!!!!

Wao wakati wanafanya huo upumbavu walitegemea nini????

Kisha wakipata Div. 0 wanasema wameonewa na Baraza la Mitihani.

Pumbavu zao!!!!!

Ni washenzi tu hawa!!!!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Utasubiri sana wapate ziro hadi miguu itakakamaa hawa ndo wananunua hadi majibu unawakuta wana one alafu kwenye usaili awafanyi kazi wanapata uwakute ifisini sasa utakoma
 
Maisha ni kioo ukicheka nayo yanacheka Chezea ujana uzee ni fainali na Ukiwahi kuyaanza na utawahi kuyamaliza vilevile.
 
Back
Top Bottom