Unajiweka ktk kundi la ujuaji but unapotosha watu. Elimu yako juu ya haya mambo ni ndogo sana.nani kakwambia zimamoto na uhamiaji hawajafanya basic training???
Unaposema ijulikane dunian kote,who are you? Jielimishe kwanza
Kwani wanaopinga ama kusifu serikali je nao wanazo serikali??
Hilo ni suala la kitaifa sio suala la mtu binafsi so kuongea kwa neg au pos ni sawa tu kulingana na mtazamo wa mtu.
Hauko sahihi kabisa
kwa upande wangu sitakushauri biashara gani ila ni vema uzingatie haya kwa uchache:
MOJA ni vema ujiulize binafsi kuwa hiyo pesa umeipta kwa njia gani eidah kwa kudunduliza kutoka katika biashara ndogondogo ndipo ukapata, je kwa msaada wa ndugu au mikopo? au bahati nasibu?? au mirathi...
Habari wa ndugu, mtaani kwangu kuna binti mwenye tatizo la utindio wa ubongo Mlezi wake ambaye ni Bibi yake amefanya juhudi mbalimbali ili kuhakikisha kijana wake anapata elimu lakini anaishia kupata changamoto mbalimbali hivyo kwa yeyote mwenye msaada wa wowote hata wa kimawazo atusaidie ili...
Kuna kipnd serikali ilikataza kuzuia mwanafunzi kuzuiwa kufanya mitihani kwa sababu za ada. Sasa je mbona huo unyanyasaji upo na serikali ya nchi kupitia wizara ya elimu iko kimya bila hatua stahiki juu ya mambo haya!! Swali linakuja ni kuwa walitangaza onyo hilo ili iweje?? Na kwa faida ya nani???
ni watu wangapi wanauawa bila hatia hata wauaji wapo tu wanatembea vifua mbele,wangapi wanateswa hata kung'olewa meno,kucha hata kuchungulia kabur lakin watesaji wameitwa makamanda? badala ya kushtakiwa? mh hii ndo tanzania,sheria itendeke haki kisheria kwa wote,siping hukumu hyo bal iende mbal...
watanzania wengine bhana watu wa ajabu eti wanataka mfano ili waige,kwan sisi hatuwez kuasis jambo? huo ni uoga na kutojiamin na kasumba ya kuamin kizuri mpaka kitoke nje na sio mpaka kila kitu iwe kwa hisan ya watu wamarekan,kama zanzbar tayar wanayokatiba yao,utambulsho wao then sisi bara...
hahaa yap-tz nimewakubali huo wiz,mi nimetumiwa juz e mail but nlvyoona payment,mh nkasita.go to web wanakuambia it wil started soon.hapa wamekutana na tp,hakatwi m2
kwanza taarifa hii iltakiwa ianze kutendewa kaz kimya kimya il kuwanasa wahucka kwan wakipata taarifa watakimbia,na mkuu wa polic hana haja ya kuchelewa askar tunao weng wenye silaha na mbinu,ndio mbona ktk maandamo zinakuja gari hata 20,wauvamie huo msitu na kuwakamata hao watu,hakuna cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.