mtoa mada anatakiwa kuwa mkweli na si kujidanganya! mwaka 2005 kikwete alishinda kwa 80% , 2010 62% 2015 Magufuli kashinda kwa 58.8% ccm imepoteza jiji la mbeya, DAR, BUKOBA,ARUSHA, TANGA, IRINGA,MOSHI nk,wabunge wa ccm wamepungua kulinganisha na 2010.wabunge upinzani wameongezeka. kuwa...