Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

Lowassa/Zitto Kabwe wapeleka kilio CCM

kama halmashaur za majiji,miji,manispaa kwa kweli ccm imepigwa kipigo cha mbwa mwizi.mwisho wa ufisadi umefika hawana tena uwezo wa kuiba pesa za mradi
 
Na nyie mna kilio kikubwa sana cha kukosa urais. Hivi miji mikubwa ndio Tanzania? Ccm ulitegemea dunia imesimama tumia akili kidogo kufikiri. Mna viti kaw ujumla havizidi 75 ccm ina 181 lkn kelele nyingiiii

mkuu UKAWA wana wabunge113sio haba ule ujinga wenu wa ndiyoooo hautakwepo
 
Kwenye ruzuku sidhani kama kuna mabadiliko makubwa kwa sababu Kikwete alishinda kwa 60% ya kura zilizopigwa 2010.

Na kwenye viti maalumu ni hivyo hivyo.

Dr. Slaa alishinda kura 26% siyo 40% za Lowassa angalia tofauti . viti maalum zinategeme kura za rais alizopata
 
Haya ndiyo maneno ya waswahili. Chenga tumewala japoj mmetufunga. Ni rahisi zaidi kujifariji kwa stail hiyo. Wala meya, luzuku etc. Lakin nani ana big cake? Ccm ina vyanzo vingapi vya hela? Pia angalia ni muunganiko wa vyama vingapi na mmepata nn. Angalau mngefika nusu basi. Lakin bado ni robo tu. Maamivu mliyonayo hayaelezeki zaidi ya kujifariji kwa stail hiyo. Kamuulize EL anajua anavyoumia rohoni.
 
Muhimu nani anaongoza nchi na bunge?

Nani anaunda serikali?
Hivi wewe mwanamke kwa nini unapenda kunichokoza, ujue huwa ninapigwa ban kwa ajili yako mimi sikupendi hata unipe bure na million juu bado sikutaki
 
Na nyie mna kilio kikubwa sana cha kukosa urais. Hivi miji mikubwa ndio Tanzania? Ccm ulitegemea dunia imesimama tumia akili kidogo kufikiri. Mna viti kaw ujumla havizidi 75 ccm ina 181 lkn kelele nyingiiii

Maumivu ya UKIWA ooh sorry UKAWA ya kukosa uraisi ni makubwa mno kuliko yale ya CCM kupungukiwa ruzuku.
 
Hivi wewe mwanamke kwa nini unapenda kunichokoza, ujue huwa ninapigwa ban kwa ajili yako mimi sikupendi hata unipe bure na million juu bado sikutaki

Unanisoma kwa uoga?
 
Kwa matokeo ya Uchaguzi mkuu uliopita, ikiwa CCM wanalia , Lowassa anacheka?. CCM inapopata Wabunge zaidi ya theluthi mbili ya wabunge wote wewe unajiita mpinzani bado unashangilia? Malengo ya Lowassa na upinzani yalikuwa ndo hayo? Badala ya kujitathmini kwa nini wameshindwa wanabweteka. Unakuwaje na amani unapolipoteza jiji kama la Mwanza? Basi nimeamini Upinzani haujajiandaa kuongoza nchi na ndiyo sababu ilifikia hatua kusubiri CCM iwakate watu ndo wawachukue. Halafu katika akili ya kawaida inakuwaje mwanafunzi aliyefeli kabisa mtihani katika shule fulani akahamia shuleni kwako aonekana ndiye mwenye akili kuliko wanafunzi wote wa shule yako, halafu unakubali kwenda kumpambanisha na mwanafunzi aliyefaulu sana katika Shule ile ambaye huyo mwanafunzi wako alishindwa? Unatarajia nini?. Endapo Vyama vya Upinzani watakubaliana kuungana, tutaona upinzani wa kweli Tanzania. La sivyo mtaishia kususia Uwanja wa Taifa na kuandamana tu!!
 
Na nyie mna kilio kikubwa sana cha kukosa urais. Hivi miji mikubwa ndio Tanzania? Ccm ulitegemea dunia imesimama tumia akili kidogo kufikiri. Mna viti kaw ujumla havizidi 75 ccm ina 181 lkn kelele nyingiiii

Hujui siasa wewe! Ungejua athari za jambo hilo kisiaza usingeandika hayo
 
Urais umeporwa kwa hila hilo ulimwengu unajua, kuhusu miji mikubwa unajitoa ufahamu kama utalinganisha pato la jiji la Dar na mtwara ingawa zote zina bahari utakuwa hazikutoshi, ujue kwenye majiji ndipo nchi inapiga hela ya kutosha na ccm ndipo wanapofanyia ufisadi. Umewahi kujiuliza kwa nini Tanzania hawataki igawanywe kwa majimbo?

Dah! ndugu yangu unampiga mno jamaa! punguza makofi kidogo
 
Halmashauri ya KARATU na MOSHI Zimekuwa chini ya CHADEMA tangu mwaka 95 lakini mpaka sasa hizo Halmashauri hazina tofauti na zile zinazoongozwa na CCM.Ngoja tusubiri na hizo nyingine

ficha upuuzi wako wewe jinga sasa unaweza kuilinganisha vipi halmashauri ya moshi na katavi au namtumbo au huko kwenu nanjilinji
 
Mm nipo karatu hapa huwez kulinganisha na hizo halmashauri nyingine wafanyabiashara wadogo tuna enjoy ,,hakuna kodi za kijinga.....vibanda hapa sokoni tunalipia shilingi miambili kwa siku....nenda huko kwa kwa maccm .....kodi zinazid mitaji......

Unafurahia kulipa kodi ndogo ? hivi Halmashauri zitajiaendeshaje?
 
Hivi wewe mwanamke kwa nini unapenda kunichokoza, ujue huwa ninapigwa ban kwa ajili yako mimi sikupendi hata unipe bure na million juu bado sikutaki

Mku usijitie nuksi kujibizana na huyo ajuza
 
Dr. Slaa alishinda kura 26% siyo 40% za Lowassa angalia tofauti . viti maalum zinategeme kura za rais alizopata

Chadema ilipata 26%
UKAWA imepata 40%

UKAWA wakigawana ruzuku Chadema itabakiwa na ile ile kama sio kupungua.
 
Hawa jamaa wawili kwa kweli kwa pamoja tunaweza kusema wamepeleka kiliomtaa wa Lumumba, waswahili husema kwa mjinga huenda kicheko lakini kwa mwelevu huenda kilio.

= mwerevu

Shame on you.
 
Halmashauri ya KARATU na MOSHI Zimekuwa chini ya CHADEMA tangu mwaka 95 lakini mpaka sasa hizo Halmashauri hazina tofauti na zile zinazoongozwa na CCM.Ngoja tusubiri na hizo nyingine

Mgaya acha uongo! chadema wameanza kuitawala moshi kwa maana ya madiwani 2010 na imepiga hatua kubwa, ndio maana Cdm wamepewa ridhaa ya kuiongoza moshi tena 2015
 
Back
Top Bottom