Recent content by ngusekela

  1. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu mikoa ya Dar na Pwani ina maajabu

    Huku bujinga ni -6 mkuu
  2. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

    Hivyo hata mama yako akitongozwa ujue kadhalaurika? Kazi kwelikweli
  3. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Zijue sifa za mabinti wa Iringa

    Wawanji mbona hujawasema bwana. Wakinga hajinyongi yeye ni kutafuta hela tu. Angalia matajiri wengi kariakoo ni wakinga
  4. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

    Kile shela la mama jamani sio nmhhhhhh hata kabisa
  5. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

    Kuacha siasa,Kuna watu wana asili ya roho mbaya. Sasa za hivi ni hatari saana. Tumuombee huyu ndugu kwa kauli zake tata. Mbona ccm ilikuweoo toka enzi hizi lakini umaskini uko hadi hivi leo mfano dodoma
  6. ngusekela

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiukaji wa taratibu za Uchaguzi Jimbo la Ukonga

    Kwani nani kashinda?
  7. ngusekela

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    Wewe kakutuma umsafishe au? Maana wenzie wa tumbo moja hawamtaki sasa sisi ni nani hata tumkubali?
  8. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Madada wa kishua wote wakali!

    Huyo mtoa mada amefanana na mudi makende wa tandika
  9. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya mauaji ya 26 - 27 Zanzibar Januari 2001

    Hukumu kwa Allah tu
  10. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Kwa nini mnazuchambua zuchi za Dada na mama zenu? Dhambi
  11. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Wanawake hela mnazotafuta ni kwaajili ya nini?

    Mbona na wao wanawake mnawachosha? Waoeni hizi hela jamani
  12. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

    Owa ndugu
  13. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unaweza kuacha kazi ili ulee familia?

    Nimewaacha kazi miaka mwili imeoita mshahara tulikua 2.5M kulea wanangu na hivi sasa ninafuga kuku naoata Pesa zinazonitosha kukidhi mahitaji yangu. Wanangu wako vizuri mume wangu anafuraha na watoto pia. Ntafanya biashara hapa home
  14. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaisemeaje hii kauli ya Diva?

    Lete Pesa show hakuna ndo utakua hela na show kipi zaidi
  15. ngusekela

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 yanayosababisha Biashara nyingi za Wanawake kufa

    Kweli wanawake hata tamaa inatuangusha ukimuona mwenzio anafanya biashara hii nawe unaiga wakati hujui A wala B ya biashara husika
Back
Top Bottom