Zijue sifa za mabinti wa Iringa

Zijue sifa za mabinti wa Iringa

Mtoa mada sijajua kama umetoa mada kufurahisha jukwaa au vinginevyo, ila sio vzr kuelezea tabia za kabila ambalo huna ufahamu nalo!

Maana sifa nyingi ulizozitaja sio za kweli!
 
Mtoa mada sijajua kama umetoa mada kufurahisha jukwaa au vinginevyo, ila sio vzr kuelezea tabia za kabila ambalo huna ufahamu nalo!

Maana sifa nyingi ulizozitaja sio za kweli!
Nalijua vizuri mkuu
 
Watu wengine bwana, mtu anaelezea makabila matatu kama kabila moja. Tangu lini wakinga wakajinyonga? Halafu mkoa wa Iringa una kabila moja tu ambalo ni wahehe
 
Naomba na sifa za wanawake wa kingindo kwa anae jua!! Nlikutana na moto ukaniunguza kisawa sawa nikatimua mazima!
 
Wawanji mbona hujawasema bwana. Wakinga hajinyongi yeye ni kutafuta hela tu. Angalia matajiri wengi kariakoo ni wakinga
 
Naomba na sifa za wanawake wa kingindo kwa anae jua!! Nlikutana na moto ukaniunguza kisawa sawa nikatimua mazima!
Duh kaa nao mbali kabisa,ni wachawi,wanaongea sana bila breki.
Hawana staha kumuheshimu mme
 
USAF
USAFI WA KUJIOSHA NA MAJI BAADA YA HAJA NDOGO UPO USWAHILINI. Kule porini kuna maji? Huko shamba kuna maji? MIMI HUWA NAONA KINYAA SANA MTU ANAINGIA CHOONI HAKUNA SABUNI ANAJIMWAGIA MAJI NA KOPO halafu anarudi kuendelea na kupika eti ni usafi ptuuu. Ugonjwa wa UTI kwa wingi. NI UCHAFU KWANI HAKUNA SABUNI 80% wanajiosha bila sabuni. Wa mwambao ndio kazi yao na UTI inaweza ikawa kwa wingi maeneo hayo
Kwahiyo kwako ni bora akitoka kulimwaga kojo,atoke bila ya kuchamba?...
 
Duh kaa nao mbali kabisa,ni wachawi,wanaongea sana bila breki.
Hawana staha kumuheshimu mme
Duuuuuuuuh very true boss hongera kwa comment yenye content!!hicho ulichokiongea hakina utofauti kabisa na ex wngu yani ni matatizo yule mwanamke looh!!!
 
Back
Top Bottom