Mwanamke unaweza kuacha kazi ili ulee familia?

Mumewe muelewa na anayejitambua, mi niliacha kazi kuja kulea familia hakuna nyota ambayo sijaona.. Dharau, michepuko ikaanza hapo hapo, mwanaume kabadilika hadi anatisha.. NAJUTAA.. Sishauli mwanamke yeyote kuacha kazi kwa sababu yoyote iwe mwanaume au familia. Kipato cha mwanamke ndo ulinzi wake
Tumekusikia na tutafuata ushauri wako dada
Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumewe muelewa na anayejitambua, mi niliacha kazi kuja kulea familia hakuna nyota ambayo sijaona.. Dharau, michepuko ikaanza hapo hapo, mwanaume kabadilika hadi anatisha.. NAJUTAA.. Sishauli mwanamke yeyote kuacha kazi kwa sababu yoyote iwe mwanaume au familia. Kipato cha mwanamke ndo ulinzi wake
Doo pole jamani mtu unasimangiwa hata kutizama TV utamaliza umeme, haukutafuta tena kazi nyingine? Shida huwa hapo, wewe mfano mnaanza maisha ya chini , Mungu akiwabariki kosa mchepuko ndiyo inachipuka unabaki mdomo wazi!
 
Mumewe muelewa na anayejitambua, mi niliacha kazi kuja kulea familia hakuna nyota ambayo sijaona.. Dharau, michepuko ikaanza hapo hapo, mwanaume kabadilika hadi anatisha.. NAJUTAA.. Sishauli mwanamke yeyote kuacha kazi kwa sababu yoyote iwe mwanaume au familia. Kipato cha mwanamke ndo ulinzi wake
Duuuuuuh poleeeh sana mam lol
 
Nimewaacha kazi miaka mwili imeoita mshahara tulikua 2.5M kulea wanangu na hivi sasa ninafuga kuku naoata Pesa zinazonitosha kukidhi mahitaji yangu. Wanangu wako vizuri mume wangu anafuraha na watoto pia. Ntafanya biashara hapa home
 
Upendo ndio kila kitu, upendo unapotawala hakuna mzigo wala ugumu kufikia maamuzi ya kuacha ajira ili kulea familia maana hilo ndio msingi wa ndoa. Ushauri wangu kwa mke ni kuwa asifikie maamuzi hayo kwa kulazimishwa bali kwa kupima vipaumbele na kupima matokeo tarajiwa.

Mke lazima uthibitishe upendo wa mumep kwako na kwa familia, upendo unaothibitishwa kwa vitendo na kujitoa kwake kwa mkewe, watoto na ndugu wa mke. Upendo wa hali na mali ambapo mahitaji ya mke na familia ndio ya msingi kwa mume kuliko vyote tena upendo huo upimwe kwa miaka kadhaa kabla ya kufikia maamuzi hayo, mume awe mstari wa mbele kuandaa shughuli mbadala ambazo mkewe atafanya ikiwa hatakuwa ameajiriwa.

Vv
 
Back
Top Bottom