Recent content by ngurumoo

  1. N

    Angalia Jinsi Kenya Ilivyo Rusha Satelaiti Yake ya Kwanza

    Ni hela zako tuu, mie hela ikubali nitaita wa Japan [emoji627] warushe yangu.
  2. N

    Kampala university ni chuo bora au sio chuo bora?

    TCU wanaachia chuo kikuu kibovu??????????????????????!!?!!!!!!!????????????? Kama Ni kibovu TCU inatakiwa kuwajibika.
  3. N

    DC Temeke aibiwa gari nyumbani kwake; ashangaa wezi kupata ujasiri wa kumwibia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama

    Wamemdharau mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Wa wilaya, jitadhimini na chukua hatua, Je wananchi tupo salama????
  4. N

    UDART wafungua kesi mahakamani kuzuia Serikali isilete muwekezaji mwingine kuendesha mwendokasi

    Pumbafu sana kazi imewashinda anakimbilia Mahakamani. Watu wanavyo jazwa kwenye mwendo kasi, wanaambukizana malt drug resistant TB, serikali inaingia garama za kutibu hao watu. Unaweza kaa kituoni dakika 45 hakuna basi sio mwendokasi Ni mwendo pole.
  5. N

    Mchakato wa kuipandisha hadhi manispaa ya Moshi kuwa jiji wanoga

    Jiji la same Au jiji la mwanga au jiji la rombo
  6. N

    SOMALIA: Mwanamke aliyeolewa mara 7 apigwa mawe hadi kufa

    Wanawaza unyama na ukatili tuu
  7. N

    Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

    Standard Gauge Reli na train ya umeme ingeenda chato ningeshukuru, vile inge beba waalimu, Afisa mifugo na nyuki.na watu wa kipato cha chini na Kati, Reli inge chochea maendeleo haraka zaidi, Chato Airport haina umuhimu.
  8. N

    Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Huwezi kuendelea kwa kuomba au kusaidiwa. Acha fikra za kuomba omba.
  9. N

    Mwanangu wa kike wa chekechea kaniuliza "tutakaa kwenye nyumba ya kupanga hadi lini"?

    Badala ya kwenda kununua kiwanja , unamfuata mwalimu ??????
  10. N

    Swali. Je, ambulance ikiwa na mgonjwa akafia njiani humrudisha hospitali ilikomtoa?

    Anarudishwa mwanayamala, hata akifika mapokezi km sio mzima hawapokezi????
  11. N

    Swali. Je, ambulance ikiwa na mgonjwa akafia njiani humrudisha hospitali ilikomtoa?

    Humrudisha alipotoka na kingora na taa bado on. Ambulance ikibeba damu unit moja Au ikifuata damu Au daktari lazima kingora na taa viwe on.
  12. N

    Mtambue kiongozi wa Roma (Julius Caiser) aliyezaa na malikia wa Misri Cleopatra

    Kulikuwa na kalenda nyingi sana za kichina, za kiislam za kigiriki nk Kalenda ya Julius Caesarean ili kuwa bora zaidi kwa sababu; 1. Inaendana na mzunguko Wa dunia kulizunguka jua ambayo inatupatia mwaka wa siku 365 na robo.
  13. N

    Mtambue kiongozi wa Roma (Julius Caiser) aliyezaa na malikia wa Misri Cleopatra

    Julius Caesarea alizaliwa kwa operation muda mufupi baada ya mama yake kufa. Akijifunga .Ndio chanzo cha operation ya kumzalisha mama mjamzito kuitwa.caesarian section hadi Leo. Alikuwa Askari na mwanasiasa. Alichomwa vizu 23, kisu alicho chomwa na Brutus (aliye mlea na kumuingiza kwenye...
  14. N

    Serikali yamtolea tamko Cyprian Musiba juu ya kutoa kauli hatarishi

    Huyo Musiba alitoa pressed conference, Huwa anatoa matamko kama vile Ni amiri jeshi mkuu , Au Waziri wa ulinzi
  15. N

    Paul Makonda atishia kuwasweka ndani Lowassa na wengine wasipoitikia wito wa kwenda kusikiliza madai ya kutelekeza watoto

    Anachofanya ni moja ya kazi zake kabisa, Kumbuka RC ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa wake. Hivyo ni wajibu wake kulinda na kutetea watoto walio telekezwa. Tatizo unamchukia RC kwa sababu zako unazozijua.
Back
Top Bottom