Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala ya Teknolojia basi lazima utakuwa unajua hivi karibuni Kenya ilifanikiwa kurusha satelaiti yake ya kwanza. Angalia video hapo chini jinsi tukio hilo lilivyokuwa siku ya ijumaa tarehe 11 mwezi huu.