Mjadala upewe uzito unaostahili. Tusianze kutetea na kusafisha CCM hapa kwa kisingizio cha kumshughulikia Lowassa. Aliyeshindwa ni CCM na mfumo mzima wa chama hicho. Mkapa, Lowassa, Kikwete, Msekwa, Wassira, Nape, Nchemba, Lusinde na wote walioshiriki siasa hizo ndani ya chama. Naogopa...