Recent content by Nguri

  1. Nguri

    DAR: Kuna milipuko inasikika katikati ya Mji, kuna nini?

    Zimeacha sasa 12:15 mpaka now 12:22
  2. Nguri

    DAR: Kuna milipuko inasikika katikati ya Mji, kuna nini?

    Tulio karibu bado hatujajua ila hata kama ni fataki za wahindi tulizozizoea miaka yote meaka huu imekua too much..Mkuu atakua Dom nini inamana hasikii???
  3. Nguri

    Waitara ampandia Rais Magufuli

    Uyo mzee waitara hanaga na habari ya aya maigizo bro..ndo kwanza yupo bize na golf pale lugalo[emoji466]
  4. Nguri

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Nadhani wote tuna akili timamu humu..nikimanisha kuwa jibu tunalo kuwa kwa nini lowasa hawezi kushitakiwa..Mimi naanza na hili wengine mmalizie nyinyi.(1) Hivi boss wa lowasa si alikua jk? sasa bosi itabidi ausike tu katika hili maana yeye ndie alikua mwenye saini ya mwisho na ya kwanza katika...
  5. Nguri

    Waitara ampandia Rais Magufuli

    Kwa kazi gani inayofanywa...?kazi kubwa ingeanza na kutumbua lile jipu la Richmond na wote walio husika hapo tungeona iyo kazi..kazi imekua ya usafi kila jumamosi[emoji13] [emoji13] [emoji13]
  6. Nguri

    Waitara ampandia Rais Magufuli

    Sizani kama kauli zinazo onenaka ni maamuzi binafsi ya mtu mmoja ni vizuri kuyafumbia mdomo ikiwa ni athari kwa wengine na faida zao ni bora tuache nchi iende kwa misingi ile ile tuliyolelewa na wakuu waliopita.kama walikua wanakosea basi wawajibishe kwa uongozi wao mbovu uliotulea..
  7. Nguri

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Tufikilie tu hivi lowasa akishitakiwa wangapi watakua mbele yake na wangapi watakua nyuma yake...iyo kesi itaishia kusemwa kwenye vijembe tu na wale waheshimiwa wapenda mipasho...
  8. Nguri

    Waitara ampandia Rais Magufuli

    Nipo hapa kwa auncle Magufuli[emoji16]
  9. Nguri

    Dr. Kigwangala: Sikusoma High School na Ndg. Juma Mwaka, tuhuma zinazosambazwa mitandaoni ni uzushi

    Sizani kama ni povu..ila huu sio wakati wa kuficha ficha uovu.Mh kigwangala amefunguka tu hapo
  10. Nguri

    Waitara ampandia Rais Magufuli

    Naomba kuuliza hii nchi inaongozwa kwa katiba au amri...??
  11. Nguri

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Kufikili ni bora kabla ya kutenda..ona sasa!!!
  12. Nguri

    Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

    Huyo butch alitafutiwa asee...
  13. Nguri

    RC Makonda kuleta wachina kuzoa taka na kutengeneza Madawati

    Huyo RC NI MZEE WA KIKI TU MJINI HAPA..........
  14. Nguri

    Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

    Upo sawa Mwasu Masters ulichukua wapi wewe.....???:D
  15. Nguri

    Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

    Asee........!!!!! MHESHIMIWA alitafuta au alitafutiwa.???:(:(
Back
Top Bottom