SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
Tatizo wewe njaa inakusumbua
Huyo jamaa asikusumbue akili njaa imemtafuna ubongo
Tatizo wewe njaa inakusumbua
Ha ha mfalme badala ya kujenga viwanda anawakamata wote wanaomwambia kakosea. Aisee najutia kura yangu kwa huyu msukuma sikujua kwa kweli.makufuri na mfaninasha na mtu aliye ingia kwenye ulingo wa ngumi na baada kuona ameshindwa anaanza kuruka salakasi ili aendele kujitafutia mashabiki ingawaje ameshindwa.
ni sawa na makufuli inshu ya viwanda imemshinda ameaumua kuanza kuipindisha sheria ili aendelee kujitafutia washabiki.
na kama kweli yeye makufuli ni dikteta huo udikteta wake auweke kwenye viwanda tuone udikteta wake.
Kwani vipi? Umeona kuna dalili za kujiuzulu kabla ya muda kwa kuona mambo yanamshinda?Rais anawagwaya UKAWA, lakini kwa sababu ya rais huyo huyo UKAWA wameanza kuwagwaya Wananchi , 2020 Magufuli hapigi kampeni.
Subiri mkishikishwa ndio mtajua ni niniUKUTA sio Chama cha Siasa
Ajaribu kwenye jimbo lake kwanza tuone kama atapata watu wa kumsikiliza, yeye alikutana na upepo wa mabadiliko, asije akajidangannya kuwa ana nguvu za kisiasa UkongaWitara size yake mi Jerry Slaa, kwa magufuli ni mwendelezo ule ile wa kutaka umaarufu pasipo kuwa maarufu.
Hamna hata kimoja hapo.Naomba kuuliza hii nchi inaongozwa kwa katiba au amri...??
Hii hata kama ni kweli ni mhimu kuzingatia nidhamu ya namna ya kuiwasilisha kwa mkuu wa kaya.MWITA Waitara, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam amesema, marufuku ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara nchini inatokana na kukosekana kwa fikra pevu miongoni mwa viongozi, anaandika Regina Mkonde.
Waitara ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uongozi Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dar es Salaam amesema hayo leo katika kipindi cha ‘Tuongee Asubuhi’ kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Star TV.
“Anachofanya Rais Magufuli ni kuzuia siasa za CHADEMA ili tusijiimarishe huku yeye akisuka mipango ya CCM kusikika peke yake pia anadhibiti vyombo vya habari vinavyoandika ukweli, hii ni siasa ya kitoto,” amesema na kuongeza;
“Maamuzi yaliyofanyika si ya haki, Magufuli amezuia mikutano ya CHADEMA anaruhusu ya CCM tu, mwanzo alikataza mikutano ya hadhara lakini alipoona chama chake kitahitaji kufanya mikutano akaruhusu wabunge kufanya kwenye maeneo yao, jambo hili si sawa.”
Waitara amesema kuwa inashangaza kuona hata tamko la kuwataka wabunge na madiwani peke yao kufanya siasa katika Kata na Majimbo yao likikiukwa kwa kuwaruhusu viongozi wakuu wa CCM kufanya mikutano lakini viongozi wa upinzani wakizuiliwa.
“Christopher Ole Sendeka ni msemaji wa CCM na siyo Mbunge, amefanya mkutano mkoani Arusha na polisi walimlinda wala hawakumzuia, lakini ukiacha hilo vyama visivyo na wabunge au madiwani vitajijenga vipi na kupata wabunge wapya bila mikutano?” Amehoji.
Katika hatua nyingine, Waitara amesisitiza adhima ya CHADEMA kufanya mikutano na maandamano nchi nzima kuanzia Septemba Mosi mwaka huu ili kupinga viashiria vya udikteta ambavyo vimeanza kuonekana katika serikali ya awamu ya tano.
“Kufanya mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba na kisheria kwa vyama vyote vya siasa, na UKUTA upo pale pale kwasababu hii ni nchi ya vyama vingi, kama CHADEMA hatufanyi mikutano ya maendeleo watuache, waitishe ya kwao na watushitaki kwa wananchi,” amesema.
Hakuna ukweli wowote nilioambiwa hapo, ukweli tutaujua 2019 na 2020.Waitara akirudi mnikate kidole mimi mkurya mwenzake lakini dalili za kumng'oa zimeshaonekana.
Uyo mzee waitara hanaga na habari ya aya maigizo bro..ndo kwanza yupo bize na golf pale lugaloNilifikiri waitara mkuu wa majeshi mstaafu...!

Mkuu Masters na uDr wa mawaziri wa CCM zinaandikwa na watumishi wa serikali pamoja na mimi nimeandika za mawaziri na wakurugenzi si chini ya watano.Mhe Waitara kaongea hoja za msingi.
Lakini sitashangaa kusikia leo hii au kesho Waitara kama ilivyokuwa kwa Mhe. Lissu na yeye anatafutwa na Kamanda Ciro kwa uchochezi! Nashindwa kupata lugha ya kuzungumzia huu utawala wa John Pombe Magufuli na PM wake Majaliwa Majaliwa! Ni timu mbovu kabisa ambayo haijawahi tokea hapa Tz!
Nasikia hawa jamaa wote ni Waalimu na Waalimu huwa wana sifa moja ya kwamba ni WAELEWA. Lakini hii pair naona ni kinyume chake! Yawezekana ni wale Waalimu walioingia enzi zile kwa utaratibu wa UPE(Ualimu Pasipo Elimu)! Hawa walikuwa ni waalimu waliotokana na kufeli Darasa la 7 kuingizwa kwenye Ualimu.
Pengine kuna haja ya kuchunguza vyeti vyao!
Nchi hii inaongozwa kwa "amri" na katibu ndiyo inayoruhusu amri kutumika.Naomba kuuliza hii nchi inaongozwa kwa katiba au amri...??
Kama umeamua kuandika alichokisema Waitara leo mbona hujasema kuhusu kusifia baadhi ya mambo mazuri ya uongozi wa Rais Magufuli?MWITA Waitara, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam amesema, marufuku ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara nchini inatokana na kukosekana kwa fikra pevu miongoni mwa viongozi, anaandika Regina Mkonde.
Waitara ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uongozi Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dar es Salaam amesema hayo leo katika kipindi cha ‘Tuongee Asubuhi’ kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Star TV.
“Anachofanya Rais Magufuli ni kuzuia siasa za CHADEMA ili tusijiimarishe huku yeye akisuka mipango ya CCM kusikika peke yake pia anadhibiti vyombo vya habari vinavyoandika ukweli, hii ni siasa ya kitoto,” amesema na kuongeza;
“Maamuzi yaliyofanyika si ya haki, Magufuli amezuia mikutano ya CHADEMA anaruhusu ya CCM tu, mwanzo alikataza mikutano ya hadhara lakini alipoona chama chake kitahitaji kufanya mikutano akaruhusu wabunge kufanya kwenye maeneo yao, jambo hili si sawa.”
Waitara amesema kuwa inashangaza kuona hata tamko la kuwataka wabunge na madiwani peke yao kufanya siasa katika Kata na Majimbo yao likikiukwa kwa kuwaruhusu viongozi wakuu wa CCM kufanya mikutano lakini viongozi wa upinzani wakizuiliwa.
“Christopher Ole Sendeka ni msemaji wa CCM na siyo Mbunge, amefanya mkutano mkoani Arusha na polisi walimlinda wala hawakumzuia, lakini ukiacha hilo vyama visivyo na wabunge au madiwani vitajijenga vipi na kupata wabunge wapya bila mikutano?” Amehoji.
Katika hatua nyingine, Waitara amesisitiza adhima ya CHADEMA kufanya mikutano na maandamano nchi nzima kuanzia Septemba Mosi mwaka huu ili kupinga viashiria vya udikteta ambavyo vimeanza kuonekana katika serikali ya awamu ya tano.
“Kufanya mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba na kisheria kwa vyama vyote vya siasa, na UKUTA upo pale pale kwasababu hii ni nchi ya vyama vingi, kama CHADEMA hatufanyi mikutano ya maendeleo watuache, waitishe ya kwao na watushitaki kwa wananchi,” amesema.
Nadhani ni vice versaNaona imekuwa wakati muafaka kwa kila kila mbunge wa chadema kupata kick kwa kutumia jina la magufuli.
Naona imekuwa wakati muafaka kwa kila kila mbunge wa chadema kupata kick kwa kutumia jina la magufuli.
Naona imekuwa wakati muafaka kwa kila kila mbunge wa chadema kupata kick kwa kutumia jina la magufuli.
Kama umeamua kuandika alichokisema Waitara leo mbona hujasema kuhusu kusifia baadhi ya mambo mazuri ya uongozi wa Rais Magufuli?
Hii mkuu wangu ni broken ulipaswa kuanza na "It"Makes sense