DAR: Kuna milipuko inasikika katikati ya Mji, kuna nini?

DAR: Kuna milipuko inasikika katikati ya Mji, kuna nini?

Hii sijui ni nn, nimeshajiandaa kwa lolote.. mashine mkononi
 
Hope ni kwema, nimecheki na MTU wa Gongo LA mboto sio huko, Sijui labda Mbagala.
 
Leo ni sherehe za kihindi inaitwa diwali ni fataki hizo zinazolia mi niko kariakoo nashindwa hata kulala wanapiga mafataki mazito utafikiri mizinga
 
Achani uoga ni siku kuu ya kihindi hiyo.
 
Mwanza kulikuwa na milipuko ya hvyo baadae taarifa ikatoka kuwa ni sherehe za wahindi sijui labda na huko huwenda wakawa wanasherehekea.
 
nilikua nataka nifuate demu upanga nimeshaghairi hali si shwar
 
Hamna mabomu wala risasi ni fataki zinapigwa na wahindi yapo kwenye sherehe zao sema hayo mafataki yana vishindo vikubwa na mwanga wa kutosha
Kwa upande mwingine nadhan itakuwa kero kwa watu wa maeneo ya karibu maana usingzi hauji kabsa kwa kelele hizi.
 
Mpaka sinza mshindo umesikika,tatizo ni nini?
 
Aisee mwenye taarifa kamili atiririke jamani maana na usingizi umeshakata vishindo vizito tuu nasikia tena vizito
 
Tulio karibu bado hatujajua ila hata kama ni fataki za wahindi tulizozizoea miaka yote meaka huu imekua too much..Mkuu atakua Dom nini inamana hasikii???
 
Naskia ni sherehe ya wahindi, kama ni kweli wawe wanatoa taarifa kwa kweli, tabia mbovu kabisa kutuweka wakazi wa jiji roho juu
 
kuna jamaa kanipigia simu muda huu na kuniuliza unasikia kuna milipuko mikubwa ni wapi hiyo inatokea

naulizia kwa mwenye kujua habari hii atupe taarifa
 
Back
Top Bottom