Pole sana ndugu. Sijuhi kwa sasa lakini miaka ya 70s magonjwa ya zinaa kama Syphilis(kaswende), Gonorrhea(kisonono), Malengelenge kwenye uume, Kabambaru na mengineyo yalijuwa yanatibiwa kirahisi sana na Penicillin / PEN V.
Nakumbukuka tulikuwa tunapeana ushauri kwamba ukipata...
Saaana. Na nashangaa kwa masaa 20 wachamgiaji hawajafika 50, wabongo tumelaaniwa aisee. Asante sana boss kwa uzi makini, nimepata guidance ya watoto wangu
Unakosea sana. Kwa nini unataka mkulima awe mtumwa wako ??? % kubwa ya wakulima hawajawahi kunufaika na Kilimo miaka nenda/rudi sasa Mungu amewaona wamepata nafuu ya bei wewe unalalama. Basi na wewe kalime ....
Watu wenye restaurant, maduka ya nyama na Samaki, caterers etc etc wanatundika manati sehemu mbalimbali ya maeneo ya bihashara zao kufukuza kunguru. Nimeona ikifanya kazi vizuri tu. Wengine wanafanya urembo tu
Na kutokuwa serious pia inachangia. Unakuta kijana kamaliza CS degree badala ya kupambana apate certification kadhaa yeye anapambana kununua Subaru ya kuwanasia mademu.
You are very right. Ukweli ni kwamba Putin anaichapa Ukraine systematically n in the next two weeks Ukraine itakuwa imedhohofu kiasi cha kutokusimama tena kijeshi in the next 20 yrs. Yaani jamaa mashambulizi zake yanalenga kambi za jeshi, wanajeshi na miundombinu ya kijeshi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.