Recent content by Ngoto Stimela

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo kijana aende chuo gani kati ya hivi

    Hiyo technical education ni nzuri zaidi ukilinganisha pia na uhaba wa walimu wa ufundi katika vyuo vingi vya ufundi kuanzia ngazi ya veta na hizi shule za ufundi kama iyunga tech,moshi tech ,ifunda tech n.k soko lake lipo sana tu na nikozi mpya maalamu na kwa wakati sahihi kwa ulimwengu huu wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa mafunzo kuhusu transformer TANZANIA

    Hakuna chuo kinachotoa kozi ya Transformers/power Transformers hapa Tz but ukiapply vyuo vya ufundi kama DIT ,ATC ,MUST au VETA kuna modules mfano Ac Machines (ElectricalMachines),Electrical installation ,Transformer Rewinding, Electrical Protection and Maintenance etc.utajifunza vitu kuhusu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chenga Hii Watapigwa Wabeba Mabango May Mosi, Ndio watajua Bongo Nyoso.

    Hii lazima mpk makatibu wa chama washaboreshewa maslai sembuse nyinyi watumishi mama anaupiga mwingi subirini neema zaja.
  4. N

    JamiiForums Tanzania kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

    Inawezekana ni G.P.A yako tu ya diploma iwe imemeet cut off point , na utapiga 4 years baada ya 3 years kwa relevant course kwa vyuo kama DIT japo MUST walishatoa huo mfumo nafikiri kuanzia mwaka huu wote ni 4 years kwa kozi za engineering. Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Umetisha [emoji1534]
  6. N

    JamiiForums Tanzania Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji

    Mtera ni mojawapo ya mabwaya yanayozalisha umeme unaoingia kwenye Grid ya taifa so vp kuhusu kidatu,pangani,hale ,kihansi etc.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa chuo kikuu

    Usiige kuzima moto
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni course gani naweza kusomaa kwa matokeo haya?

    1.Electrical engineering 2.mechanical engineering 3.civil engineering 4.biomedical engineering Soma moja kati ya hizi utanishukuru badae!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wale Mashabiki wa Simba SC tunaokerwa na Uchezaji wa Clatous Chota Chama tujitokeze Kumkosoa hapa tafadhali

    Takwimu mbona azijamkataa kiasi hiko mkuu!!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tumpe Zuchu kura za ndio na WCB Wasafi

    Mitano tena chuchu kanajua[emoji41]
  11. N

    JamiiForums Tanzania Secretariat ya ajira: Kichaka cha ajira kwa watoto wa vigogo

    True mkuu me binafsi nilikuwa na mawazo kama hayo na nilikuwa siendi interview zao za utumishi nikiitwa nikicheki kuna msululu wa watu halafu anahitajika mtu mmoja au wawili mpaka jamaa yangu mmoja ninaye mjua kbsa alipopata ndio kama alinipa ushawishi wa kuwaamini kama inawezekana kweli asee...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kufuta vyeti vya degree ili kibaki cha diploma

    Uko sahihi Coz Adobe si kunakuwa na features ambazo ukiziapply inakuwa kama imesainiwa kwa mkono so ni ubunifu tu zaidi nimeipenda hiyo mkuu!
Back
Top Bottom