Waka una Apply post husika Mkuu.Mkuu, na hy cover letter una-attach wap
Waka una Apply post husika Mkuu.Mkuu, na hy cover letter una-attach wap
Hivi usumbufu huu na ule wa kutuma maombi yako kwa njia ya posta ,EMS upi ulikuwa mkubwa mkuu ? Licha ya mapungufu yao yaliyokuwepo kama haya ya mleta mada, lakini kwenye suala la kusema kuscan barua na kuattach binafsi silioni kama usumbufu coz kwenye barua ya maombi ya kazi sharti iwe na signature ya kuandika na mkono so halikwepeki hilo la kuscan barua then ndio huatach!!!Hakuna anayehitaji ubabaishaji.
Moja ya kitu ambacho kilinisumbua kwa hawa jamaa ni kuwa ukiandika barua inabidi pia uscan ili utume.
Kwahiyo kama una posts 3 inabidi ufanye hivyo.
Kwahiyo haya ndio maudhi madogo madogo yaliyopo, haimaanishi kuwa watu wanahitaji ubabaishaji.
Jitahidi kujua mtu ana maana gani kabla hujaanza kumjibu, usisite hata kumuuliza kuliko kujibu kisha ukaonekana hamkuelewana.
Mimi sikuwahi kusign kwa mkono nilikuwa na sign kwa kutumia ADOBE PDF kisha natuma na haikuwahi kutokea kutokuitwa hadi nimepata kazi the same applied kwa jamaa zangu wengi tu.Hivi usumbufu huu na ule wa kutuma maombi yako kwa njia ya posta ,EMS upi ulikuwa mkubwa mkuu ? Licha ya mapungufu yao yaliyokuwepo kama haya ya mleta mada, lakini kwenye suala la kusema kuscan barua na kuattach binafsi silioni kama usumbufu coz kwenye barua ya maombi ya kazi sharti iwe na signature ya kuandika na mkono so halikwepeki hilo la kuscan barua then ndio huatach!!!
Uko sahihi Coz Adobe si kunakuwa na features ambazo ukiziapply inakuwa kama imesainiwa kwa mkono so ni ubunifu tu zaidi nimeipenda hiyo mkuu!Mimi sikuwahi kusign kwa mkono nilikuwa na sign kwa kutumia ADOBE PDF kisha natuma na haikuwahi kutokea kutokuitwa hadi nimepata kazi the same applied kwa jamaa zangu wengi tu.
Wanachokifanya ni zaidi ya ukatili na hili ni wazo la mtu mmoja tu mwenye roho kubwa tuAjira portal haitaki ubabaishaji kwa muda huu; hasa tangu ilipofanyiwa maboresho makubwa ya kisasa ili kuwadhibiti wadanganyifu.
Atumie email nyingne afungue akaunt nyingne aweke details za diploma tuu