Recent content by Ngosi

  1. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

    Kuna kamoja kapo form 2 jana kamepandisha maruhani hata hakaeleweki wanataka wakapeleke Hospital hakataki kanataka kanunuliwe maji ya Zamzam sijui eti ndo katakaa sawa kumbe ndo pogo zao
  2. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Makonda (Bashite )anatumika kuhamisha mjadala wa gorofa kuporomoka Kariakoo

    Mbona Bashite toka wiki jana hii press yake alikua anaifanyia promo
  3. Ngosi

    JamiiForums Tanzania 5G vs Starlink

    5G network ipo supply by tower kwa hiyo itakua inashika baadhi ya maeneo tofauti na Starlink anategemea satellite popote pale inashika through devices zao
  4. Ngosi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Asilimia 80 ya Watanzania wanaishi na virusi vya UKIMWI

    Duh Journal imeshiba sana Link Sexual Behaviors and HIV Status: A Population-Based Study among Youths and Adults in Tanzania
  5. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Internet mtaani

    Hii huduma UCC wanayo
  6. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la oil chafu

    Bei halisi ni 198/Ltr
  7. Ngosi

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber ingebinafsishwa ingeipiku ZUKU fiber kwa wateja

    Duh pole sana
  8. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

    Bakharesa njoo huku
  9. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Ile soda ya kipaimara
  10. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Huu ni ulongo
  11. Ngosi

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Nasubiri feedback
Back
Top Bottom