Recent content by Ngosha jr

  1. Ngosha jr

    4WD -2WD for Toyota Hilux Kun 125

    Mimi pia ni Fundi, hii ni gari ya mteja. Nimehangaika nayo bt nimeshindwa, Sasa nataka niagize Motor mpya lkn nahitaji kujiridhisha kwanza
  2. Ngosha jr

    4WD -2WD for Toyota Hilux Kun 125

    Wadau, nina Toyota Hilux model KUN125 ya mwaka 2015. 4WD ilikuwa haijatumika kwa zaidi ga mwaka, then siku ilipotumika, iling'ang'ania kwenye 4LO, Baadae ikanasuka but kkawa ina blink 4LO MIL, na haikubali tena kuengage 4WD, switch kko sawa, tatizo nahisi itakuwa Motor. Yeyote mwenye msaada wa...
  3. Ngosha jr

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Pikipiki nzuri sana hyo, Tatizo lake haina nguvu unapopanda mlima, au ukibeba mzigo mkubwa. But kwa matumizi ya kawaida iko perfect, na ina speed nzuri. Sijajua upo mkoa gani bt upatikanaji wa spares ni ishu kidogo. Kma upo dsm sio kesi, jnaeza wacheki city motors au k/koo
  4. Ngosha jr

    Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

    Hizo r ndo tatizo
  5. Ngosha jr

    Wanaume: Acha ujumbe kwa demu aliyekula nauli alafu hajatokea!

    Dadeki Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
  6. Ngosha jr

    Mtazamo wangu juu ya Makonda na TEF

    Basi poa, tumuachie Ngoswe yake Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ngosha jr

    Tanzia: Mmiliki wa hoteli ya Impala, Ngurdoto na Naura Springs Arusha afariki dunia

    Sio huyo aliyewahi kuwa mbunge ,,, ni Mrema mwingine. R.I.P Mrema Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ngosha jr

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nimekuelewa sana Ontario, let me read that book first. But pia ningeomba utuoneshe burner au bango utakaloweka kwenye hyo ofisi yako ili iwe rahis kuipata, .be blessed.
  9. Ngosha jr

    Msaada gari kuvuta upande

    Kma tairi ziko sawa kabadilishe bush
  10. Ngosha jr

    Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Nipo,,but I can't guarantee you kwamba tutaishia kuchat tu
  11. Ngosha jr

    Natafuta mchumba mwenye penzi la kweli

    Em njoo pm
  12. Ngosha jr

    Msaada wa haraka wa chuo na course

    Mpeleke Don Bosco Oysterbay akasomee carpentry au Electrical Installation,,,ajira njenje na pia kile chuo kina tabia ya kutafutia wanafunzi ajira au kuwaajiri kwenye karakana zao
  13. Ngosha jr

    Msaada wa haraka wa chuo na course

    Ila unaweza kumpeleka sheria, sociology, au mambo ya ustawi, Vyuo ni ustawi, tumaini, mwl. Nyerere, magogoni
Back
Top Bottom