Natafuta chuo cha kilimo tofauti na SUA

Natafuta chuo cha kilimo tofauti na SUA

Kutafuta chuo cha kilimo ngazi ya degree tofauti na Sua ni sawa na kutafuta meli inayotembea sehemu nyingine mbali na majini!
Hahahhaa!sawa mkuu si maanishi kama siitaji kuomba iko chuo but nataka niangalie fursa na kwingine coz siunajua now vyuo una apply direct,so lazima uombe sehem tofaut tofaut,
 
Unatafuta elimu nyepesi bila shaka na matokeo yake utakuwa weaker on job competetion
Siovyo but nataka niangalie na kwingine mana competition itakua kubwa due to direct application,
 
Kwa level ya degree wewe SUA inakuita kama kweli unapenda kusoma kilimo ingawa UDSM wana course (program) chache za kilimo google College of Agricultural Sciences and Fisheries Technology UDSM. By the way kwa nini unatafuta chuo ambacho ni tofauti na SUA?
Lengo langu nikwenda sua nimeuuliza kwa ajiri ya kufanya application sehem tofaut tofaut kutokana na competition itakayo kuwepo mwaka huu mkuu,
 
Lengo langu nikwenda sua nimeuuliza kwa ajiri ya kufanya application sehem tofaut tofaut kutokana na competition itakayo kuwepo mwaka huu mkuu,
Umeeleweka mkuu bahati mbaya vyuo vyenyewe kwa degree ni vichache.
 
Kwa level ya degree wewe SUA inakuita kama kweli unapenda kusoma kilimo ingawa UDSM wana course (program) chache za kilimo google College of Agricultural Sciences and Fisheries Technology UDSM. By the way kwa nini unatafuta chuo ambacho ni tofauti na SUA?
Atakua mvivu wa kusoma!
 
Amani iwe nanyi.
Naomba kuuliza vyuo ama chuo kinachotoa course ya kilimo tofauti na SUA,
Karibu Egerton university of agriculture and technology

Elimu bora kwa maendeleo ya afrika
 
Back
Top Bottom