Recent content by ngonza

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Wish

    Toyota Wish au rush?. Heading Wish , maelezo Rush
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya bati za Alaf ni kubwa sana kuliko za viwanda vingine?

    Pia Sunshare nao wako juu bei zao na quality iko vizuri kama Alaf. Ila kwa kutambua hasa wanunua bati hawaangalii bati ukubwa na urefu. Wao upana uko chini kidogo ukilinganisha na Alaf . Halafu bei chini. Ukitafuta square metre unakuta Alaf bei zao ziko chini
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maulidi Kitenge vs Salehe Jembe, Oscar Oscar na wengine

    Nafkri kazi rahisi kuliko zote ni kuchambua mpira.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wapi anapatikana Daktari Mzuri wa Watoto?

    Nenda Aghakan kama mfuko unaruhusu. Nilipata shida ya mtoto kama hiyo bahati nzuri alikuwa na miaka 1 na miezi 2. Walikuta ni kilimi(sikumbuki kitaalamu) ila alikuwa anapata shida ya kupumua usku hasa akilala na homa za mara kwa mara. Walimfanyia operation ndogo akapona. Tatizo ulikuwa ukimpa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa hati ya kumwita Mbowe na wenzake leo kuendelea na kesi

    Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba tumesahau katiba. Ambalo ndo lengu kuu la kumtia hatiani Mbowe. Siku wakiona inafaa watafuta kesi, tutashangilia kumbe lengo limekamilika
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Ok. Nafikiri sasa hivi inspection inafanyika baada ya kufika. Approval of payment ndo muhimu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Huduma za mwanzoni kama approval ya kupokea hela,inspection certificate umepata?. Kama tayari waulize meli gani wanategemea kutumia. Hii itakupa mwanga zaidi na kukuondolea panick. Kwa kifupi taratibu ya makampuni yako sawa. Upande wa booking inategemea vessel availability mara nyingi ni wiki 2...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kibao cha Kilometa 50 hakipo kutoka Korogwe kuelekea Wami

    Hiyo ni kweli, na wanatengeneza sana hela eneo hilo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

    Mnamuelekeza aina ya gari ya kununua kwa bajeti yake ya 1.5m?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

    Ref ina anza na 99... jua ndo control #. Ukilipa kwa transaction ya simu kabla ya mwisho kubali itaonesha kama iko sawa. Ila hakikisha una hela inayolingana au kuzidi hiyo 55000 vinginevo itagoma
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

    Kiongozi ukiandika hapo namba yako ya gari unapata hadi control #
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu bati bora na ambayo haipauki

    Kama ukikosa ALAF nenda Sunshare. Hutojutia. Hawa watu wanaagiza sheet kutoka China na South Africa wao ni kutengeneza profile tu. Fika kiwandani mtaani utaambiwa ni Alaf au Sunshare baada ya miaka 3 utaanza kulaumu kumbe ulipigwa kipindi unanunua
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua

    IST ikikufaa ninayo. Ametumia mwanamke kwa miaka 3.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

    Ukiuza 1m nistue. Nitakupatia Dar
  15. N

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mwenye kuhitaji spare za toyota Belta anitafute. Ninazo
Back
Top Bottom