Nyie magamba acheni u-mangungo, tangu lini mkeo akasifiwa na mume jirani yako kuwa anajua mambo? ukiona hivyo ujue kuku kaliwa, hapo hamna kitu. hongereni kuwasaidia cdm kujua kwa nini zito anakubalika na ninyi magamba
Tumuacheni DR Uli, kwani hata tulipoujua ukweli wote kupitia mwanahalisi tulifanya nini? hatua gani tulichukua? mimi naona ni bora DR Uli ajikalie kimya tu. sababu hata akisema ukweli wote watz kwa jinsi tulivyo hakuna tutakacho fanya zaidi
Huyu bwana anamatukio mengi yenye ukakasi kuhusu cdm, 2010 aliahidi kumpigia kampeni kafulila ambaye alikuwa amekihama chama ktk jimbo ambalo cdm walikuwa na mgombea pia.
Lakini kwa kuwa tunamjua, tukae naye kwa tahadhari asije leta madhara. huu ukaribu wake na m/kiti wa ccm sio bure
Usituulize sisi waulize hao polisi mnaowatuma kuua. Hata kama mnatafuta usiku na mchana kuwaua viongozi wa cdm Mungu wa mbinguni anawalinda na lisasi zenu.
Mkuu Lowasa kesha kunasa nini? mbona huko kuna akina magufuli na akina mwakyembe. lakini nao wakitaka kuendelea kutoa mchango kwa taifa hili lazima wahamie M4C. Vinginevyo wajiandae kutupisha.
Ndio uzalendo kama wa chenge kuficha vijisenti vya rada nje, lowasa na richimond, hata kuuza wanyama pori hai nje na kuingia mikataba ya kimangungo tena kwa ari, nguvu na kasi zaidi. bila ya sifa hizo ujumbe wa nec utaishia kuusikia tu.
Watamchagua jaji aina ya aliowataja Tundu Lisu asikilize hiyo rufaa, sababu jaji huyo kuandika hukumu peke yake anatumia zaidi ya muda wa miaka 3. kwa mbimu hiyo watakuwa wamefanikiwa kuizuia cdm kutwaa jimbo hilo kwa kipindi kilichobaki kufikia 2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.