Ndugu waislam wenzangu, hongereni kwa kuisafisha CHADEMA kuwa si chama cha vurugu!

Status
Not open for further replies.
Polisi na ccm ni wavamizi wa mikutano ya cdm na wauaji wa raia wasiyo kuwa na hatia.CHADEMA wataingia ikulu pasipo kumuuwa hata mende mmoja.
 
mleta mada umekurupuka, waislam hawakufanya maandamano ili kukisafisha wala kukichafua chama chochote.
Uislam unajitosheleza na unajitegemea wenyewe, hauihitaji support ya chama chochote hivyo hauna haja ya ktmsafisha au kumchafua mtu.
Tunachodai waislam ni dhulma na unyanyasaji unaofanya dhidi yetu ukomeshwe.
Tumedhulumiwa na kuonewa vya kutosha, muda umefika wa kuondosha dhulma na kusimamisha haki.
Hayo ya kusafisha au kuchafua chama fulani hayahusiani na waislamu na madai yao.

kawaeleze kina nape na ccm mliowapa kura.wawape mnachotaka .hapa unatokoraga tuu .sisi hapa tunapigania haki kwa watanzania wote .
 
Ni lini mtawaacha Waislaam peke yao?. Hivi kweli mtu mwenye akili zake timamu anaweza kulinganisha swala la Chadema na Maandamano ya jana?.. Swala la Chadema kwanza halikuwa maandamano isipokuwa Mkutano ambao wao walikatazwa kufungua tawi la Chama kupisha usimamizi wa zoezi la sensa.. Kesi yao itatazamwa tofauti na jinsi gani polisi walitumia nguvu za ziada na sio kuchukua mfano wa maandamano ya Waislaam ilihali mnaonyesha chuki zenu wenyewe kwa waislaam.

Chadema mkiendelea na propaganda hizi za kuonyesha serikali na Uislaam basi nina hakika uchaguzi wa mwaka 2015 msahau USHINDI na dalili zitaanza kuonekana soon. CCM imefanikiw akw akiasi kikubwa sana kuwajaza Ujinga na mmeuvaa vizuri sana. Chadema Mnajimaliza wenyewe..

Tunajua sana mlichukia waislaam kutoshiriki sensa yenye kutukuza Ujinga mtupu. Sensa ambayo inahesabu vichwa vya watu wakati hatuna database ya kufananisha hesabu hiyo na records tulizokuwa nazo. Sensa ambayo kwa msomi yeyote atakwambia haiwezi kuwa na mafao yoyote kwa wananchi kwa sababu sii wingi wa watu au uchache wa watu ndio huiwezesha serikali kupanga maendeleo isipokuwa kutambua jamii nzima ktk makundi yao. Iwe Immigrants wangapi, raia wangapi, wanawake wangapi, watoto wangai, wazee wangapi na kadhalika na ktk sehemu zao za makazi na uzalishaji...Kukosekana kwa data kamili ni sawa na ahadi tupu ambaz hazitaweza kumsaidia Mtanzania kwa lolote na mtakuja nambia..
 
Ni wachache waliomiongon mwetu, walio maadui wa aman na umoja wetu.

Na adui yeyote wa aman hana hekima, busara wala hofu ya mungu. Utamtambua adui wa aman kwa post zake za shari, chuki na uchochezi. Kamahajatukana au kukashifu waislam basi atafanya hivyo kwa wakristu, kunafaida gan? Unapata nin? Zaid ya kuzivua nguo akili zako na kuacha utup na ujinga wa akili zako kwa kila mmoja wetu kukushangaa?!
Jana walichokifanya polis kinapaswa kuwa mwanzo mzuri. Tunahitaji aman na upendo kwa watanzania wote.

Ccm na watawala wake wasituchonganishe tukachukiana kwa iman na makabila yetu.

Tanzania ni yetu sote tupendane na tuish kwa aman.

ur right 100% tena napendekeza kuanzia sasa tupigeni vita threads na matamshi yote yanayo leta kutuchonganisha kwa dini au kabila zetu ,one tanzania one nation
 
Ni lini mtawaacha Waislaam peke yao?. Hivi kweli mtu mwenye akili zake timamu anaweza kulinganisha swala la Chadema na Maandamano ya jana?.. Swala la Chadema kwanza halikuwa maandamano isipokuwa Mkutano ambao wao walikatazwa kufungua tawi la Chama kupisha usimamizi wa zoezi la sensa.. Kesi yao itatazamwa tofauti na jinsi gani polisi walitumia nguvu za ziada na sio kuchukua mfano wa maandamano ya Waislaam ilihali mnaonyesha chuki zenu wenyewe kwa waislaam.

Chadema mkiendelea na propaganda hizi za kuonyesha serikali na Uislaam basi nina hakika uchaguzi wa mwaka 2015 msahau USHINDI na dalili zitaanza kuonekana soon. CCM imefanikiw akw akiasi kikubwa sana kuwajaza Ujinga na mmeuvaa vizuri sana. Chadema Mnajimaliza wenyewe..

Tunajua sana mlichukia waislaam kutoshiriki sensa yenye kutukuza Ujinga mtupu. Sensa ambayo inahesabu vichwa vya watu wakati hatuna database ya kufananisha hesabu hiyo na records tulizokuwa nazo. Sensa ambayo kwa msomi yeyote atakwambia haiwezi kuwa na mafao yoyote kwa wananchi kwa sababu sii wingi wa watu au uchache wa watu ndio huiwezesha serikali kupanga maendeleo isipokuwa kutambua jamii nzima ktk makundi yao. Iwe Immigrants wangapi, raia wangapi, wanawake wangapi, watoto wangai, wazee wangapi na kadhalika na ktk sehemu zao za makazi na uzalishaji...Kukosekana kwa data kamili ni sawa na ahadi tupu ambaz hazitaweza kumsaidia Mtanzania kwa lolote na mtakuja nambia..
Aah mkuu wangu, inakuwaje? Vigezo na masharti ya kuomba/kutoa taarifa kuhusu maandamano iwe ya wanaharakati, vyama vya siasa au dini havikuzingatiwa. Huo ulikuwa ni uvunjifu wa amani kwa sababu walitakiwa watoe taarifa mapema. Au siku hizi taasisi za dini zinaweza kujiamulia kukusanya wafuasi wake muda wowote na kufanya maandamano? Hata huko canada kweli wanafanya hivyo?
 
mleta mada umekurupuka, waislam hawakufanya maandamano ili kukisafisha wala kukichafua chama chochote.
Uislam unajitosheleza na unajitegemea wenyewe, hauihitaji support ya chama chochote hivyo hauna haja ya ktmsafisha au kumchafua mtu.
Tunachodai waislam ni dhulma na unyanyasaji unaofanya dhidi yetu ukomeshwe.
Tumedhulumiwa na kuonewa vya kutosha, muda umefika wa kuondosha dhulma na kusimamisha haki.
Hayo ya kusafisha au kuchafua chama fulani hayahusiani na waislamu na madai yao.

Hapo kwenye red ndipo panapoacha maswali. Anza wewe kuweka ushahidi hapa, ukiwa kama muislamu, umeshawahi kupoteza au kunyimwa haki yako ipi kwa kigezo cha uislamu wako??? Toa mfano 1 tu wa kwako binafsi nikusaidie mkuu.
 
Ni haki ya mtu kutoa mawazo hili halina mjadala kwani ndiyo njia pekee ya kupata maarifa kutokana na mawazo ya wengine. Kama unayosema ni kweli ni vema ukaja na vielelezo jinsi watu wa makabial mengine na dini nyingine wanavyokataliwa kujiunga na kupewa madaraka NDANI YA CHADEMA. Hii itasaiidia sana kuwafuta watu ujinga kuhusu mwenendo wa CHADEMA.

mchukiauonevu ,wala usimpambe .hawa ni wale wameletwa hapa jf kuju kutukoroga na magambazi ,kwani kama waislam wana madai ya kuonewa .wakumdai ni chadema au ccm iliopo madarakani ??
 
Aah mkuu wangu, inakuwaje? Vigezo na masharti ya kuomba/kutoa taarifa kuhusu maandamano iwe ya wanaharakati, vyama vya siasa au dini havikuzingatiwa. Huo ulikuwa ni uvunjifu wa amani kwa sababu walitakiwa watoe taarifa mapema. Au siku hizi taasisi za dini zinaweza kujiamulia kukusanya wafuasi wake muda wowote na kufanya maandamano? Hata huko canada kweli wanafanya hivyo?
Wewe raia na Mkristu kinachokuwasha kipi ikiwa Waislaam wanaandamana kuishinikiza serikali kuwaacha huru watu wake?. Ni wapi uliwahi kuona kibali kinatolewa kwa watu wanaitaka serikali kuwaachia huru wafungwa?. Hivi unaweza kunambia waandishi wa habari wanaweza kuomba kibali kulaani kifo cha mwandishi mwenzao?..
Mkuu wangu hujui Harakati za Waislaam na pengine mngejua tusingekuwa tukitawaliwa na CCM hadi leo. I thought nilikuwa Chadema the right party kinachopigania haki za wananchi wake, sasa naanza kufikiria tofauti.
 
Kwa uzoefu wangu duniani kote maandamano na vurugu za waislam ndo yanaweza kuipindua serikali au kuifanya ístawalike nadhani hata serikali ya ya Tanzania inalitambua hilo nyie angalieni Libya,Egypt,Bahrain,Syria,Sudan na Somalia to mention a few. Hawa jamaa wakiandamana af wapígwe mabomu hapo ndo serikali itaonja joto ya jiwe na wao sio wajinga wanajua ukweli. Na kama Chadema wanataka kuchukua nchi kwa nguvu option ni kútumia hawa jamaa, wakiamua hawarudi nyuma. Ndo maana serikali haikuwpapiga. Wangekuwa wakristu wangechezea.
 
Wewe raia na Mkristu kinachokuwasha kipi ikiwa Waislaam wanaandamana kuishinikiza serikali kuwaacha huru watu wake?. Ni wapi uliwahi kuona kibali kinatolewa kwa watu wanaitaka serikali kuwaachia huru wafungwa?. Hivi unaweza kunambia waandishi wa habari wanaweza kuomba kibali kulaani kifo cha mwandishi mwenzao?..
Mkuu wangu hujui Harakati za Waislaam na pengine mngejua tusingekuwa tukitawaliwa na CCM hadi leo. I thought nilikuwa Chadema the right party kinachopigania haki za wananchi wake, sasa naanza kufikiria tofauti.
Hapana mkuu wangu. Huu sii utaratibu. Hamuwezi kuamua tu kuandamana bila kutoa taarifa. Hivi wenzenu walifunga barabara kwa muda gani? Kama ingetokea emergency ya moto au mgonjwa mahututi, gari lingepita wapi kama hiyo ilikuwa ni njia yake? Maandamano /Harakati nakubaliana nazo 100% lakini lazima tutumie common sense .
 
Mkuu hebu tulia,kisha ufikiri japo kidogo hata kama sio kawaida yako. Ni wapi nimesema au umesikia Waislam jana au siku yoyote waliandamana kwa madai ya kuonewa na Chadema. Au ndio unataka kutusadikisha Chadema ipo madarakani katika sura nyingine!?
 
Tusipokuwa makini kutapatapa kwa marehemu mtarajiwa (ccm) kutatuachia makovu mabaya hata tukichukua nchi
 
mleta mada umekurupuka, waislam hawakufanya maandamano ili kukisafisha wala kukichafua chama chochote.
Uislam unajitosheleza na unajitegemea wenyewe, hauihitaji support ya chama chochote hivyo hauna haja ya ktmsafisha au kumchafua mtu.
Tunachodai waislam ni dhulma na unyanyasaji unaofanya dhidi yetu ukomeshwe.
Tumedhulumiwa na kuonewa vya kutosha, muda umefika wa kuondosha dhulma na kusimamisha haki.
Hayo ya kusafisha au kuchafua chama fulani hayahusiani na waislamu na madai yao.

Hapo kwenye red ndipo panapoacha maswali. Anza wewe kuweka ushahidi hapa, ukiwa kama muislamu, umeshawahi kupoteza au kunyimwa haki yako ipi kwa kigezo cha uislamu wako??? Toa mfano 1 tu wa kwako binafsi nikusaidie mkuu.
 
Hapana mkuu wangu. Huu sii utaratibu. Hamuwezi kuamua tu kuandamana bila kutoa taarifa. Hivi wenzenu walifunga barabara kwa muda gani? Kama ingetokea emergency ya moto au mgonjwa mahututi, gari lingepita wapi kama hiyo ilikuwa ni njia yake? Maandamano /Harakati nakubaliana nazo 100% lakini lazima tutumie common sense .

Mkuu mbona unajichanganya na kujikanyaga..jibu au elewa hoja ya Mkandara! Hata hivyo inakuwaje leo unatoa sababu nyepesi tu ya kuonyesha maandamano ya Waislam hayakuwa halali,,wakati ndio hizo factors Chadema wanapewaga na polisi na kuzikaidi?..Double standards?!!
 
Utaratibu ni upi?.. hivi kweli unajua uzito wa kuishinikiza serikali kuwaachia wafungwa huru inatakiwa ufanye utaratibu gani?.. nimekuuliza vizuri tu. Chadema au waandishi wa habari wakitaka kuandamana kupinga kifo cha mwadishi yule watachukua kibali wapi?. Mbona mnaishi kama makondoo kwa hizo nidhamu zenu za WOGA na ndio maana hata Dr.Slaa alipomwandikia IGP wengi wenu mliona ni makosa makubwa kwa sababu mmelelewa Kijamaa sana. Kuogopa hata pale mnapotetea haki zenu..

Lakini kwa sababu yeye ni mkristu nawaona tena mkibishana kwa utetezi mkipinga tena dhana ile ile wanayoitumia Waislaam dhidi ya matumizi ya nguvu. Shauri yenu nyie endeleeni kukigawa chama na nakuhakikishieni by 2015 mtabakia peke yenu na mtaaza kusema CCM na Waislaam ndio waliwaangusha kumbe nyie wenyewe mnaokata tawi mlokalia...
 
Mkuu mbona unajichanganya na kujikanyaga..jibu au elewa hoja ya Mkandara! Hata hivyo inakuwaje leo unatoa sababu nyepesi tu ya kuonyesha maandamano ya Waislam hayakuwa halali,,wakati ndio hizo factors Chadema wanapewaga na polisi na kuzikaidi?..Double standards?!!
Hapana. Chadema/wanaharakati/watu wengine wote huwa wanatoa taarifa kabla ya masaa 48 ya maandamano. Usichanganye vurugu za wamachinga na maandamano ya chadema. Kinachowafanya chadema walazimishe maandamano ni kile kitendo cha polisi kusubiri mpaka yamebaki masaa machache maandamano/mkutano uanze ndiyo wanatoa katazo la mkutano/maandano.
 
Hapana mkuu wangu. Huu sii utaratibu. Hamuwezi kuamua tu kuandamana bila kutoa taarifa. Hivi wenzenu walifunga barabara kwa muda gani? Kama ingetokea emergency ya moto au mgonjwa mahututi, gari lingepita wapi kama hiyo ilikuwa ni njia yake? Maandamano /Harakati nakubaliana nazo 100% lakini lazima tutumie common sense .

Kwa hiyo hata Chadema wanatakiwa wafuate ushauri wako kama hawajaruhusiwa wasifanye maandamano bila kibali sababu inaweza kutokea emergency ya moto.
 
Memberz Jf,
Ni muafaka wakati
Rungu hili la udini
Kandoni kupitiliza,
Sote tumo lawamani,
Tunaingia jaani,
Sie tu watu siasa,
Udini wapitiani?
Tuuacheni udini,
pema kujiendea.

Tuuacheni udini
Pema kujiendeea,
Hautatujenga katu,
Jukwaa si la kidini.
C.C.M na chadema,
Siasa jiongozea,
Islam na Christian
Za watu imani zao.

Za watu imani zao,
Islam na Christian,
Wanalo jukwaa lao,
Hapa hapa Jf,
Mbona twazichanganya,
Siasa na zetu imani?
Hakika tunatumiwa,
Pumbao twapumbazika.

Pumbao twapumbazika,
Nasi twatofautika,
Si za muhimu hoja,
Za udini jukwaani.
Tuzipeleke kanisani,
Tulalamike masjidi,
Jf wana pande
zihusuzo hizi dini,
Nasi waja wa siasa,
Tujifaidie siasa,
Ndani ya jukwaa letu,
Ni jukwaa la siasa.

Nikilitaka la dini, Tafungua jukwaa
Lihusulo dini yangu,
Ntajionea,

Ni wakati wa mikono,
Kupeana kwa furaha,
Iwe mwisho wa visomo,
Post za udini hapa,
Chadema ina WAslamu,
Na ccm pia wapo,
Chadema ina Christian,
Na C.C.M pia wapo,
Wapi zatoka vurugu,
Nani yu aja na vurugu?

Lwamani enyi MODS,
Nawasihi mlojificha,
Ondoeni hizi post
Zihusuzo udini,
Ndani jukwaa hili,

Hazitatujenga,
Bali zatuumbua!

Sisi sote tu lawamani,
Mtazame Ngoswe,
Mitomingi usimwache.
Na mazoewa yule bint,
Macho umkodolee,
Serikali nayo pia,
Kando usiiache,
Na tena ujiulize,
Nani wa kulaumiwa,
Kwenye mkasa wa ngoswe,

Kwa kumalizia, tushikane mikono, Tusameheane, tuendelee kuicheza ngoma, Ngoma yetu ya Siasa, Siasa za Tanzania.

ALAMSIKI!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom