hapana,serikali na polisi havitengani,,,,maana polisi ni chombo cha serikali,na ipo kuilinda serikali
Mkuu umejibu mpaka raha hukumalizia tu, na viongozi wa serikali ni ccm
hapana,serikali na polisi havitengani,,,,maana polisi ni chombo cha serikali,na ipo kuilinda serikali
hapana,serikali na polisi havitengani,,,,maana polisi ni chombo cha serikali,na ipo kuilinda serikali
Kuna swali najiuliza,sijawah kupata MAJIBU,,,,mauaji haya yanayofanywa na polisi wakat yakifanyika VIONGOZ WAANDAMIZ WA CHADEMA HUWA HAWAPO AU????ARUSHA WAMEULIWA WATU WA 5,MORO MMOJA,SINGIDA MMOJA,,,,
SASA KWA KESI YA ARUSHA NA MORO ZAFANANA,JE POLISI HUWA HAWAWAIN HAWA VIONGOZ,,,,(SIMAANISH NAO WAUAWE)
NAOMBA JIBU
Mr. Critical analyser, kuondolewa risasi kunaiondoa vipi polisi kwenye list ya watuhumiwa?
CCM imeingia vipi kwenye list ya watuhumiwa?
Mabulangati = nape + Rejeo + Ritz + Majebere + mama polojo + chama gongolamboto + CUF ngangariYaani watu wa falsafa pale UDSM wakiona hii mada watamshangaa sana mtoa mada.
Kama mtu alikua anafuatilia kwa makini swala la kuuwawa kwa binadamu mwenzetu kule morogoro hawezi kumwelewa mtoa mada na politiki. Nimshukuru ze marcopolo kwa kuuliza swali la msingi.
Risasi ni risasi hata palipopigwa risasi pa kioshwa namna gani pado itajulikana tu kuwa ni risasi. Kumbuka risasi ina kemikali isyopotea maana huingia kwenye damu ambapo ukipima damu tu au chembe za kwenye moyo utagundua ni risasi ama la. Pili CCM hawakutaja aliyemuuwa ni CHADEMA bali CHADEMA kutotii sheria ndiyo chanzo cha yote. Eti aliyoko karibu ndiye anayeweza kutambua aliyempiga??? Tambua wakati wa sokomoko hilo kila mtu alikua anakimbia kivyake wengine wanarusha mawe, wengine chupa na wengine nondo au aina nyingine za silaha za ujima ambavyo ndivyo vilimkumba mwenzetu. Niliuliza swali la msingi siku chache zilizopita lakini nikapingwa vikali na matusi juu.
Tuache ushabiki wa vyama, tuache kutafuta umaarufu kupitia damu za wenzetu, tuache kuvunja sheria kwa madai ya kutaka kuonesha tunahonewa.
Basically Hata issue ya Ncha Kali si ya kupuuzia kwani kuna Vijana wengi wa Magamba wanasafirishwa kutoka Dar Kwenda kwenye Hiyo Mikutano na sijui mission yao!! Ila wakikamatwa wanadai ni wanunuzi wa Mazao Vijijini!!!
Unawaona UDSM wapo juu sana? Kwa taarifa yako sasa hivi kifikra UDSM na vyuo vingine ni kama CCM na vyama vingine ikiwepo CDM.Kinawauma sana wale jamaa pale wakiona vyuo vinavyoibuka na kutoa wasomi, makini na watu wakipotezea ule upuuzi wao wa kijamaa chini ya henge la aina ya akina ponda wa elimu kam haroub othman, shivji na wengine.Wanatamani sana enzi irudi wakafelishe (wakiamini ndio wataonekana kuwa wapo juu )watu na kuletea taifa hasara.Walifanikiwa sana kuingia udini kwa mgongo waujamaa, na kupinga ubeberu.Yaani watu wa falsafa pale UDSM wakiona hii mada watamshangaa sana mtoa mada.
Kama mtu alikua anafuatilia kwa makini swala la kuuwawa kwa binadamu mwenzetu kule morogoro hawezi kumwelewa mtoa mada na politiki. Nimshukuru ze marcopolo kwa kuuliza swali la msingi.
Risasi ni risasi hata palipopigwa risasi pa kioshwa namna gani pado itajulikana tu kuwa ni risasi. Kumbuka risasi ina kemikali isyopotea maana huingia kwenye damu ambapo ukipima damu tu au chembe za kwenye moyo utagundua ni risasi ama la. Pili CCM hawakutaja aliyemuuwa ni CHADEMA bali CHADEMA kutotii sheria ndiyo chanzo cha yote. Eti aliyoko karibu ndiye anayeweza kutambua aliyempiga??? Tambua wakati wa sokomoko hilo kila mtu alikua anakimbia kivyake wengine wanarusha mawe, wengine chupa na wengine nondo au aina nyingine za silaha za ujima ambavyo ndivyo vilimkumba mwenzetu. Niliuliza swali la msingi siku chache zilizopita lakini nikapingwa vikali na matusi juu.
Tuache ushabiki wa vyama, tuache kutafuta umaarufu kupitia damu za wenzetu, tuache kuvunja sheria kwa madai ya kutaka kuonesha tunahonewa.
Nchi hii kuna Dubu linaitwa sheria, hili ni sababu kuu ya watawala kufanya wapendavyo ati tufuate sheria. Lakini mbona hii sheria wametungiwa watawaliwa pekee. CDM wakiandamana, mara nane nane, oooh al shababu, intelijensia, mgomo wa walimu, askari hawatoshi, uvunjifu wa amani, na upimbi mwingi tu. Mbona CCM hii sheria haiwahusu. Mnatulazimisha kuanza kuidai haki kwa nguvu, na mtambue kwamba tukichoka si sisi tu tutakaokufa bali kifo kitakuwa milangoni mwenu. Gombe una roho moja kama yangu, haijalishi mbele yako kakaa askari mwenye smg. Hamwezi kututangazia amani huku mnanyanyua bunduki na kutuua, hamwezi kujiita walinda usalama wakati mnatoa roho za watu. Only deads shall know the end of war. TIME WILL TELL WHEN THERE SHALL BE NO LONGER AT EASE.
yeah..ndio maana option iliyobaki katika kuchakachua imebaki na ccm.So CCM wameisaidia polisi kujitoa ila wao wamebaki.Basically Hata issue ya Ncha Kali si ya kupuuzia kwani kuna Vijana wengi wa Magamba wanasafirishwa kutoka Dar Kwenda kwenye Hiyo Mikutano na sijui mission yao!! Ila wakikamatwa wanadai ni wanunuzi wa Mazao Vijijini!!!
Marvelous, yaani haya maneno yananifanya damu inichemke kuingia vitani sasa hivi nipambane na wezi wahuni wa ccm(polisi). wanatuchinja kwa kutuvizia, ila wajue siku kikinuka na sie tutachinja hata watoto wao na wake zao. haiwezekani wao wajione ndo wana haki zaidi ya kuishi kuliko wengine, hii nchi ni yetu sote, kwa nini wao wajiamulie tu kuua watakavyo. tuanawajua na tunaishi nao humuhumu mtaani, maadamu ni polisi kwa mienendo yao hii lazima ipo siku watabanana tu, hizo risasi huwa zinaisha hata kama umewaua 50, mwisho na wewe wanakuua. POLISI MSIJIFANYE NYIE NDO WATAALAMU WA KUUA MASIKINI WENZENU WAKATI MAJAMBAZI YA CCM YANAIBA MCHANA KWEUPE HUKU VIYOYOZI VIKIYAPEPEA NA BADO MNAYAPIGIA SALUTI, OLE WENU.
Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI
Ndugu yangu muogope Mungu ,nahisi wewe ni nape au magamba, mambo yako wazi na ushahidi wa picha na mazingira vinaonyesha polisi wameua ,usishiriki laana hii maana haitaishia kwako bali kwa wanao na vizazi vyako.chadema siku zote wanafanya mikutano yao kwa amani kama polisi wasiposogea ,wakijifanya kusogea tu vurugu na mauji yanatokea ,watanzania wote tunaona na kulaani hilo.POLISI ACHENI CDM WELIMISHE WANANCHI BILA KUWATISHA naomba uwafikishie ujumbe maana ni wazi wewe ni mwenzaoYaani watu wa falsafa pale UDSM wakiona hii mada watamshangaa sana mtoa mada.
Kama mtu alikua anafuatilia kwa makini swala la kuuwawa kwa binadamu mwenzetu kule morogoro hawezi kumwelewa mtoa mada na politiki. Nimshukuru ze marcopolo kwa kuuliza swali la msingi.
Risasi ni risasi hata palipopigwa risasi pa kioshwa namna gani pado itajulikana tu kuwa ni risasi. Kumbuka risasi ina kemikali isyopotea maana huingia kwenye damu ambapo ukipima damu tu au chembe za kwenye moyo utagundua ni risasi ama la. Pili CCM hawakutaja aliyemuuwa ni CHADEMA bali CHADEMA kutotii sheria ndiyo chanzo cha yote. Eti aliyoko karibu ndiye anayeweza kutambua aliyempiga??? Tambua wakati wa sokomoko hilo kila mtu alikua anakimbia kivyake wengine wanarusha mawe, wengine chupa na wengine nondo au aina nyingine za silaha za ujima ambavyo ndivyo vilimkumba mwenzetu. Niliuliza swali la msingi siku chache zilizopita lakini nikapingwa vikali na matusi juu.
Tuache ushabiki wa vyama, tuache kutafuta umaarufu kupitia damu za wenzetu, tuache kuvunja sheria kwa madai ya kutaka kuonesha tunahonewa.
Mkuu sheria gani unayozungumzia hapa imevunjwa???... tuache kuvunja sheria kwa madai ya kutaka kuonesha tunahonewa.
Nawajua wawili waliokuwa Katibu Mkuu Utumishi miaka ya themanini: Joseph Rugunyamheto na William Shellukindo. Specific dates sina sana hakika.Wadau naomba msaada kama ipo ndani ya uwezo wenu. Naulizia nani alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utumishi katika kipindi cha miaka ya 1983-1985. Natanguliza shukrani.
Usituulize sisi waulize hao polisi mnaowatuma kuua. Hata kama mnatafuta usiku na mchana kuwaua viongozi wa cdm Mungu wa mbinguni anawalinda na lisasi zenu.Kuna swali najiuliza,sijawah kupata MAJIBU,,,,mauaji haya yanayofanywa na polisi wakat yakifanyika VIONGOZ WAANDAMIZ WA CHADEMA HUWA HAWAPO AU????ARUSHA WAMEULIWA WATU WA 5,MORO MMOJA,SINGIDA MMOJA,,,,
SASA KWA KESI YA ARUSHA NA MORO ZAFANANA,JE POLISI HUWA HAWAWAIN HAWA VIONGOZ,,,,(SIMAANISH NAO WAUAWE)
NAOMBA JIBU
Nchi hii kuna Dubu linaitwa sheria, hili ni sababu kuu ya watawala kufanya wapendavyo ati tufuate sheria. Lakini mbona hii sheria wametungiwa watawaliwa pekee. CDM wakiandamana, mara nane nane, oooh al shababu, intelijensia, mgomo wa walimu, askari hawatoshi, uvunjifu wa amani, na upimbi mwingi tu. Mbona CCM hii sheria haiwahusu.....