Recent content by ngongaz

  1. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ratiba za Edward Lowassa hazivunji sheria, zitaendelea kama kawaida

    ha ha ha!!! mie napita tuu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kesho Baraza la Maaskofu PCT kumjadili Kikwete !!

    hoja isiyo na mashiko, na inaonekana taasisi yao inajitenga na wenzao ndiyo maana nao wametengwa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    tutajie source.Vilevile haujaeleweka ni shekhe yupi?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    hao nao ni wapigania uhuru? ni kikundi cha wahuni wanaotaka kuganga njaa!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msikilizeni Gamba Lukuvi akibwabwaja Bunge ni aibu tupu kwa Taifa letu?

    mpende adui yako usimchukie,atajua tu mwisho wake.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya tanzania kutaka kwenda world cup na team ya ‘kuungaunga’

    ha ha ha! ndo tunajifunza
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nyangwine amponda mwigulu

    Rage ataomba mwongozo kwa spika, maana 2-0 zinauma!
  8. N

    JamiiForums Tanzania juma Nkamia bana! eti simba imefungwa kwa taabu!

    ni kweli,maana walistahili kuwapiga 5.
  9. N

    JamiiForums Tanzania kusuasua kwa serikali ktk kutoa fedha za chaguzi ndogo

    ikiwa takribani mwezi umebaki kabla ya chaguzi ndogo za madiwani kufanyika mpaka sasa serikali haijatoa fedha kwa ajili hiyo.Inasemekana serikali bado inahofu wapinzani watatwaa kata nyingi hivyo wanawaadaa wananchi kwamba watafanya uchaguzi kumbe hawako tayari. wadau mnalionaje hili?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kuwait

    aaah kaenda shughulikia tupate misaada akimaliza ziara atarudi kujiunga nasi kwenye maombolezo!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Breaking news: Ngasa kuikosa mechi ya simba na yanga

    ha ha ha! huyo ni mtuhumiwa afadhali mechi hiyo awe nje vijana wafanyakazi wapige mzigo!
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa mtu

    aah unatafuta moto, karibu kwangu!!!
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume rijali asiye tembea na machangu?

    we mkware acha kutetea maovu, unatakiwa utulie unaposafiri siyo kuhaharisha watu wafanye uzinzi, maandiko ya hayaelekizi hivyo!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

    aah, matatizo ni kila sehemu hata huyo zitto jimboni kwake kuna kero hajazitatua!!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kada wa CHADEMA Iringa aumizwa kwa kipigo

    kwa kuwa vyombo vya usalama vipo, watachunguza na kutua taarif tusubiri!
Back
Top Bottom