Msikilizeni Gamba Lukuvi akibwabwaja Bunge ni aibu tupu kwa Taifa letu?

Mwigulu yupo akimsikiliza kwa makini Lukuvu kama vile yeye ndie aliyeandaa tamko lile. Endelee tuu kutuchezea Watanzania maana mwisho wenu waja. Walio na ukweli wa tukio kwa picha ziwekeni kuwaumbua hawa magaidi kama walivyoumbuka kwenye mauaji ya Mwangosi. Halafu eti Chaginja yupo kwenye jopo la uchunguzi kuna kitu hapo?
CCM hamna pa kuponea maana jana nilivyokuwa naangalia TV binti yangu wa miaka kumi aliniambia baba watakuwa CCM ndio wametupa hilo bomu, nikamuuliza wewe unapenda chama gani akasema sina chama ila CCM siwapendi kwanza wezi wakubwa, nikajiaminisha mwisho wa CCM ndio umefika maana ukitaka kujua miaka kumi ijayo hali itakuwaje wakuuliza ni mwenye miaka kumi sasa. kwa heri CCM
 
Lukuvi ana shule gani.......certificate ya Yugoslavia...pia alikuwa kambi ya sumaye.....huu ndio wakati wake kulipa fadhila....this is the tine to be counted and as benefactor and sycophant....go lukuvi this is your monent
 
Mheshimiwa asemeje wakati anajua wazi kwamba na 15 ndio baibai.Kama anawajua waliotenda hivyo polisi ni wao na jeshi ni lao kwanini wasiwakamate. Eti wapo wasiasa wachache wanaochochea hivi kweli mtu mzima haoni aibu kuudanganya umma. Mwanasiasa gani awe na lengo la kuua wananchi wakati anajua huo ndio mtaji wake. Lukuvi mwogope Mungu!
Kwa kweli Lukuvu na wenzake ni janga kwa taifa letu, Mungu ebu ona uso wake Mwigulu yupo pale wanatuhadaa. Eti Polisi walizuiwa kumkamata mhalivu wakati Polisi ndio waliwazuia raia kumkamata. Mungu waumbue mchana wauaji hawa. Siwapeni basi tuu.
 
By Ngwatu
Kamto kenyewe bado hakajashika kasi mnaua je kakichanganya mtashika wapi?Ole wenu damu ya watanzania itakuwa juu ya vichwa vyenu daima. Acheni nendeni kwenye kaburi la Baba wa Taifa mkatubu haraka ama sivyo tupooo!
 
Hakuna jibu zaidi ya kuwa wao wenyewe wamehusika na sasa wanatapatapa na hawajui hata wanalolisema. Wanajichanganya kwa kauli zao. walipanga mashambulizi bila kujipanga watawaambia nini wananchi. Hatuna polisi tena nchini usalama wetu ni mdogo kila mtu achukue hatua za kujihami popote alipo.
 
Kwa kweli Lukuvu na wenzake ni janga kwa taifa letu, Mungu ebu ona uso wake Mwigulu yupo pale wanatuhadaa. Eti Polisi walizuiwa kumkamata mhalivu wakati Polisi ndio waliwazuia raia kumkamata. Mungu waumbue mchana wauaji hawa. Siwapeni basi tuu.

mpende adui yako usimchukie,atajua tu mwisho wake.
 
WE MPUMBAVU LUKUVI tambua kuwa;Maneno ya kinywa chake mwenye hekima yana neema;Bali midomo ya MPUMBAVU itammeza nafsi yake. (kweli kinywa cha mpumbavu umwaga upumbavu.)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom