Recent content by Ngonepi

  1. Ngonepi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hivi mkitoka out siku ya kwanza huwa mnapiga stori gani? Nimeachwa mara ya pili hii kwa kukosa 'interesting story'

    Tatizo unapania sana! Kuwa 'komfotabo' na ongea kama vile sio demu ambaye una kiu nae!!
  2. Ngonepi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanapo waunganisha watu wawili na kupelekea mushkeri katika jamii

    Mkuu imeisha!?
  3. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Laini za uwakala

    Nauza line zangu za uwakala Tigo, Aitel na Halotel nipo Kuvule Ukonga Daressalaam
  4. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    Nzuri
  5. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Upo mkoa gani!? Nipo Msongola jimbo la Ukonga Daressalaam sioni unachoona angani!!
  6. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Diamond nitakupiga hutoamini

    Uzuri wake Mondi alishavuka kwenye kujibizana na haters wake!!
  7. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Mtoto wa mama ulifata nini huku!?
  8. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Master Jay achukizwa na wanaopiga picha misibani

    Analialia kila siku kama mtoto wa kike!!
  9. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Magu mwenywe hakuwa Raia wa nchi yetu!! Hatujawahi kuwana Mtanzania katili mfano wake!!
  10. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

    Wakuu nimenunua tiketi ya mzunguko wa N-card wamenipa mpaka namba ya siti! Hofu yangu nikwamba inazingatiwaje kujua mimi ni Yanga au Kolo maana mule watu hukaa kila timu na upande wake!!
  11. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Simba Yanga kesho hakuna mbabe

    Napataje tickets wakuu!?
  12. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Ubabe wa kibwegebwege miisho yake haiwagi mizuri hata!!
  13. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania TANZIA DJ Steve B afariki dunia

    Rest eazy Stivie B.
  14. Ngonepi

    JamiiForums Tanzania Naytrueboy, mwanamuziki aliyewahi kuwa maarufu na tajiri amefilisika baada ya kujiunga CHADEMA

    Nay wa Mitego, mwanamuziki pendwa zaidi Tanganyika!!!!
Back
Top Bottom