Recent content by ngome urasa

  1. ngome urasa

    analipwa kubikiri watoto ili kuondoa mikosi

    We umeshakomaa wala hawatakupa bint zao! Utawaumiza bure
  2. ngome urasa

    Mwanamke amuua mwanae ili aolewe

    Huyo mwanamme kampenda yeye na si mtt aliezaa na mwanamme mwingine! Anaona ktk maisha yake bado anayo nafas ya kuolewa.
  3. ngome urasa

    Wanawake Shtukeni! Sera za haki sawa chanzo cha kuvuruga ndoa zenu

    Its true,hakuna haki sawa katika ndoa!
  4. ngome urasa

    Waliokuwa wanategemea MD UDOM, SFCUHAS IMTU tukutane hapa tuone la kufanya

    Ni chuo gani best Tanzania kama nataka kuchukua m.d?
  5. ngome urasa

    Adam Malima & Kighoma Malima Ministry of Finance: LIKE FATHER LIKE SON?

    Inatakiwa ifutwe mara moja.Faida hakuna zaidi ya ulaji!
  6. ngome urasa

    Ifahamu sayari ya Jupiter

    Sayari yetu inazungukwa na mwezi mmoja,(1moon),but sayari ya Jupita inazungukwa na miezi minne (4mooons),ziligunduliwa na astronomer Galileo mwezi Jan.1610 kwa kutumia stelescope aliyoitengeneza mwenyewe.
  7. ngome urasa

    Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi

    Wanaofanya kazi ni watu ama vyeti?
  8. ngome urasa

    Wanawake Shtukeni! Sera za haki sawa chanzo cha kuvuruga ndoa zenu

    Ttzo tangu wameanza kukalia ist za mkopo huko roadini hawataki kumskiza mume tena!
  9. ngome urasa

    Kupigwa chini kwa Betty Mkwasa na Shaaban Kisu kunaashiria nini kwa Wanahabari?

    Kuna uhusiano gani kati ya u D.C na utangazaji? Warudi redioni kazi walizosomea!
  10. ngome urasa

    Napendekeza ukumbi wa 'Karimjee' ubadilishwe jina

    Hivi kwa nn wanasihasa wanajipendelea wanapenda vitu viitwe kwa majina yao? Mbona kuna wataalam wa aina mbalimbali na wafanyibiashara maarufu nk
  11. ngome urasa

    Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    Mh ni muhimu kufatìlia matumizi mwenzangu!
  12. ngome urasa

    Siri za Malasusa kumega kanisa zavuja

    Kanisa gani linafuga uozo!
Back
Top Bottom