Waliokuwa wanategemea MD UDOM, SFCUHAS IMTU tukutane hapa tuone la kufanya

DENICE ADRIAN

Senior Member
Feb 14, 2014
127
30
Kwa wale waliotegemea hivo vyuo kwa ajili ya kuaply MD, SasA vyuo hivo vimezuiliwa kupokea wanafunzi wa MD mwaka huu...vipi nin tufanye...????
 
Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses zawaka 1 pia zipo .Karibuni huduma inatolewa bure
Halafu wanaosoma China wakija bongo wanakuwa bogus sana. Hata waliotoka hapa wakiwa bright huwa hawajui lolote. Sijui huwa wanawapeleka tuvyuo gani.
 
Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses zawaka 1 pia zipo .Karibuni huduma inatolewa bure
Mmeshapata fursa sio?
 
Mwaka Huu Sisi Masikini Tukikosa Government Basi Kwa Mihela Ya Private Kama Mkopo Haukuwa Asilimia 100% Kwa Maana Ya Mia! Basi MD & Pharmacy tutaishia Kuiona JF tu.
 
*Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17.*

Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na

1. International Medical and Technological University (IMTU) – all programmes.

2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – all programmes.

3. University of Bagamoyo (UoB) – all programmes.

4. St. Joseph University College of Engineering (SJUCET) – all programmes.

5. University of Dodoma (UDOM) – Doctor of Medicine Programme

6. State University of Zanzibar (SUZA). – Doctor of Medicine Programme.

Lazima heshima ya elimu irudi .
 
Back
Top Bottom