Recent content by ngomaxtz

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

    Mm sijayaona ayo mapenzi ya kumkamata mtu labda uwe limbukeni au yalikua zamani sio Sasa, mji wa tanga unavijana wengi ambao hawana kazi ndio maana kazi za viwandani azina thamani malipo kiduchu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

    Kweli pemba kazi zote za ujenzi wasukuma ndio wanafanya na niwengi wanaitana kama sehemu Ina fursa swala la kutoka kwenda mahali awajiulizi mara 2 wana chomoka tu,
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Aliwa wafunga akaja mwenda zake kawatoa, akamfuata hukohuko, mungu yupo kweli?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mtu yeyote kama yuko CCM siwezi kumwamini. Polepole na Gwajima wanapigania matumbo yao

    Bora hao kuliko wewe ambaye unaujua ukweli na bado unaendelea kuwepo humo humo unafaidi na kumnanga alie tolewa kwenye mfumo wa ulaji,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Good
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa anayeijua eneo la Igawa au Ubaruku kibiashara

    Igawa ni njia panda kama umetoka Mbeya au makambako, ndo njia ya kwenda rujewa mpaka ubaruku, wakazi wa igawa wengi ni wafanya biashara pale barabarani, zamani walikua wanalima sana vitunguu sana saizi sio sana kama zamani wengi wanasema aridhi imechoka unatumia mbolea nyingi tofauti na zamani...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Tanga

    Najiuliza sana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Tanga

    Kiongozi ipo ivi kiukweli kazi za viwandani kutoboa kipengele hasa izi za vibarua muda wa kazi mwingi malipo kiduchu, sanasana natafuta kazi za mashambani kama mashamba ya katani ila Sina mtu wakunipa muongozo, hobi yangu ni kilimo,
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Tanga

    Mtaji kiongozi kilimo Cha mbarali kinataka pesa apo ubaruku au kule kapunga nimefanya sana vibarua vya kupandikiza mpunga na kingine Kuna jambo liliniondoa Mbeya, ila mtaji ndio tatizo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Tanga

    Apa wanatulipa 5500 Kwa siku sawa na 165000 Kwa mwezi mshahara haukutani gharama za maisha zipo juu sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Tanga

    Mimi ni mgeni mji huu japo na nakaribia kufunga mwaka 1 hapa Tanga ni mwenyeji wa Mbeya , kutokana na changamoto nilizo zipata wakati nipo Mbeya ilinilazimu kuondoka bila kupenda kuja huku, Kuna jamaa yangu aliniunganisha na kazi ya kiwandani, kiwanda Cha cement, wakati naaza kazi niliona...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Mwenye pesa yupo bize? Na mwanamke anaetimiziwa mahitaji yote nyege nje nje na ww upo bize kutafuta uendelee kuwa kwenye ramani pakuchapiwa inaazia hapa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Mazao gani yanalimwa?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Mkuu unga wa mhogo soko lipo wapi? Nionganishe ninamihogo ya kutosha
Back
Top Bottom