Recent content by n'golofu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    nimekupata vizuri
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waarabu Wenye Asili ya Kiafrika?

    usiombe uwe na uwezo mdogo wa kutazama mambo. Waarabu walikuwa vinara wa biashara ya utumwa EA hilo halipingiki. Ila ukiwapata watetezi wao wako tayari mwaafrika mwenzao aangamie kuliko Mwaarabu. Nakukumbuka kisa kimoja cha mgogoro wa DAFUR. Maadamu alikuwa anaua ni Mwaarabu hakuna wanazuoni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Pwagu hatunaye tena

    Hakika tu wapitaji ktk ulimwengu huu. Sisi tu mavumbi na mvumbini tutarejea, maana tulitwaliwa huko. Msiba hauzoeliki, poleni wafiwa. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana na libarikiwe
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Pwagu hatunaye tena

    Hakika tu wapitaji ktk ulimwengu huu. Msiba hauzoeliki, poleni wafiwa. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana na libarikiwe
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama za kadhi afrika mashariki:influence of sultanate of zanzibar

    WAZANZIBARI WANYAMEZE KIMYA KUEPUSHA MIGOGORO ISIYO NA MAANA:target: WAPOTOSHAJI KWA UMMA WAMEANZA TENA. NANI KAWAZUIA WAISLAMU KUWA NA MAHAKAMA YAO YA KADHI. HAKUNA BWANA. NANI KAWAZUIA KUFANYA IBADA YAO NJEMA KWAO, JIBU HAKUNA. MBONA MAKANISA YANA MAHAKAMA ZAO, ZENYE MAJINA TOFAUTI--FUATILIA...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Masauni - UvCCM Ang'atuka

    nashangaa tena nitaendelea kushangaa ndg. zangu kuona Machauni wa watu, aliyepewa nafachi na MKULU WA NCHI, anaachishwa uleadership hivihivi, wajameni Chi Chi eM wamemuonea Machauni, wajameni, mbona huko Chi Chi Em kufoji ni kitu cha kawaida tu. Basi hata wale wabunge wake walio foji vyeti...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Fifa impose Cairo ban on Egypt following Algeria attack

    ni uamuzi mzuri sana:smile-big:
Back
Top Bottom