Recent content by Ngolewasima

  1. Ngolewasima

    Ufahamu juu ya sheria

    Wakili naomba msaada, Nikweli mwajiri anaweza kusitisha huduma za matibabu yani (Medical Insurance) zilizo kwenye makubaliano ya kimukataba..!!? Pasipo kukupa taarifa zozote juu ya hilo nanukimuuliza anakwambia ameshindwa kukuhudumia kwa sababu za kiuchumi, naomba kuelewa hapa. Maana Mimi...
  2. Ngolewasima

    Naombeni msaada Wa kisheria mwajiri ananionea

    Wakili naomba msaada, Nikweli mwajiri anaweza kusitisha huduma za matibabu yani (Medical Insurance) zilizo kwenye makubaliano ya kimukataba..!!? Pasipo kukupa taarifa zozote juu ya hilo nanukimuuliza anakwambia ameshindwa kukuhudumia kwa sababu za kiuchumi, naomba kuelewa hapa. Maana Mimi...
  3. Ngolewasima

    Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Wakili naomba msaada, Nikweli mwajiri anaweza kusitisha huduma za matibabu yani (Medical Insurance) zilizo kwenye makubaliano ya kimukataba..!!? Pasipo kukupa taarifa zozote juu ya hilo nanukimuuliza anakwambia ameshindwa kukuhudumia kwa sababu za kiuchumi, naomba kuelewa hapa. Maana Mimi...
  4. Ngolewasima

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Kusimamishwa kazi bila kuchukuliwa maelezo ya awali ni sahihi kwa mjibu wa sheria za kazi...!!? Au barua yakusimamishwa kazi na kuchukuliwa maelezo kipi huanza kati ya hivyo viwili.
  5. Ngolewasima

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Naomba kufahamu juu ya PER-DIEM hivi nikweli PER-DIEM inaondoa uharali wakulipwa masaa ya ziada yani (OVERTIME) Mwajiri wangu ananiambia kwamba kama ananilipa PER-DIEM hawezi kunilipa overtimes, kituo changu cha kazi ni DSM, ila kampuni imepata kazi huku Mbeya, hivyo nimeondoka sehemu yakituo...
  6. Ngolewasima

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Naomba msaada wakisheria please, mnapo sainishana mkataba na mwajiri najua haya nimakubaliano kati ya mwajiri najua mwajiriwa. Kwa mfano ndani ya mkataba kuna kipengere cha Medical Insurance, ambayo inamutaka mwajiriwa achangie 3% na mwajiri nayeye achangie 3%, mwisho wa siku mwajiri anasema...
  7. Ngolewasima

    Mother's day.

    WOSIA WA CHIEF KATIKA SIKU HII YA MOTHER'S DAY. Niweke bayana kina Mama tunaowawish leo ni toleo la zamani sio vidada vya siku hizi. Kuna uwezekano watoto wanaozaliwa sasa wasione uzito wa hii siku Wapi hawa wadada wameumizwa na malezi ya watoto? Muda gani wanao wadada wa siku hizi juu ya...
  8. Ngolewasima

    Maigizo kila kukicha wacha tuizike elimu kwa ubaguzi huu

    Mwaka huu kweli masharti ni mengi mpaka napatwa na wasiwasi mkubwa. Nimejaribu kupitia utaratibu wa utoaji wa mkopo kwa waombaji {Applicants} wa 2018/2019 kuna vigezo ambavyo ninaona hujuma juu ya watoto wa Maskini Kujiunga elimu ya juu {Chuo kikuu}. Nimesoma kipengele cha sita kinaeleza kuwa...
  9. Ngolewasima

    Mpende akupendaye, asiyekupenda mpotezee

    TESO KUBWA SANA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU NI KUMPENDA MTU ASIYE SAHIHI KATIKA ENEO LILILOSAHIHI YAPO MAMBO 25 YANAYOJITOKEZA* 1. Mtu asiye sahihi huleta mahangaiko na mateso. 2. Mtu asiye sahihi huleta majuto katika maisha. 3. Mtu asiye sahihi huleta umasikini, taabu na maumivu. 4. Mtu asiye...
  10. Ngolewasima

    Kama ungekuwa wewe ungefanyaje...?

    Umeshawahi kwenda kwenye harusi halafu Dj akawa anaplay mziki wakati huo mziki uko sauti ya juu sana halafu unaongea na rafki yako kwa sautiii ili akusikie. mara Dj anazima gafla mziki halafu Inakukuta unapayuka "Bibi harusi mbayaa" halafu umekaa nyuma ya meza ya wazazi wake Hapo ndio utajua...
  11. Ngolewasima

    Mtatiro amenena vyema kuhusu Sugu na Masonga kutoka gerezani

    SUGU NA MASONGA WAMERUDI, TUJIULIZE! Leo tarehe 10 Mei 2018, Mbunge wa Mbeya Mjini a.k.a Sugu pamoja na kiongozi mwenzake wa Chadema (Masonga), wametolewa gerezani. Kihesabu wamekaa gerezani kwa miezi mitano gerezani (Siku 73) miezi miwili na nusu - ikiwa tutachukulia ile hesabu ya Kiswahili...
  12. Ngolewasima

    Natamani mtoto ila sijapata wa uhakika wa kuzaa nae

    Ushanipata wakukushauri karibu sana naimani utakuwa umetatua tatizo lako
  13. Ngolewasima

    Tabia mbaya walizonazo wanawake ila wengi wao huzificha

    HIZI NDIO TABIA MBAYA ZAIDI AMBAZO KARIBU KILA MWANAMKE AWEZA KUA NAZO JAPO WENGI HUJITAHIDI KUZIFICHA. 1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehemu, mwanamke yuko tiyari kumuita mwanaume wake kinyago, mjinga, mwanaume suruali kisa kaishiwa hela, wanaume wengi sana wamesaidia wanawake mpaka...
  14. Ngolewasima

    Nauza laptop na simu, vyote nimeshatumia kwa kiasi chake

    Hiyo simu njoo uchukue laki moja kama hutojari nipo serious nambie unapatikana wapi
  15. Ngolewasima

    Mwanasayansi David Goodall anayetarajia kujiua kesho atatakiwa kujichoma sindano yenye sumu

    David Goodall, mwanasayansi aliyeomba kukatisha uhai wake, kesho atahitimisha safari yake duniani baada ya madaktari kuchomeka sindano ya sumu katika mshipa. Mzee huyo wa miaka 104, atakaribisha kifo kwa usaidizi wa madaktari wanne Sheena McKenzie, Melissa Bell, Saskya Vandoorne na Ben Westcott...
Back
Top Bottom