Recent content by Ngirimaji

  1. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

    Carl Marx aliwahi kusema: "religion is the 'opium of the people,",
  2. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kikao cha familia ya bilionea Erasto Msuya na DC, vilio vyatawala

    Kuondoa kesi Mahakamani ni kosa na kupoteza muda maana watarudi huko Mahakamani ili zoezi zima la kuhamisha umiliki wa mali uweze kufanyika. Huwezi kupewa chochote benki bila kufata taratibu za Mahakama nk
  3. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Huwajui waluguru ndio maana

    Yote mnayoongea jueni tuu kuwa kizazi cha Kiluguru utawala ni kikeni. Jamii ile ni matrilineal Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Canal +

    Bongo inapatikana wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya ya mafao kwa wastaafu kupata 25% inayobaki 75 kuunganishwa katika pension ya mwezi

    Mfahamu kuwa vitu vikubwa viwili vinawafanya watumishi wa uma kuvumilia 1. Kusubiria pensheni yao ambayo walikua wanaona ni kubwa na itawafaa. 2. Security ya ajira. Serikali haifukuzi fukuzi hovyo kama Private sector. Hapa kwenye kuikata hiyo pensheni kwa kiwango hicho wenye guts za kukimbia...
  6. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Waganda ni wasafirishaji wakubwa wa unga wa mahindi Ulaya ilhali si wakulima wakubwa

    Sisi kwa kweli tumepumzika sana sana sana na ni watu wa kuridhika. Mtu akiteuliwa anasubiri hela yake mwishobwa mwezi baaaasi. Wenzetu wanahangaika kuingiza bidhaa za chakula kwenye nchi za wenzetu viwango vinazingatiwa sana. Sisi ilitupasa watu wawe na target ya nchi tunayotaka kufanya nayo...
  7. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Diamond: Hamisa Mobeto unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu

    Kurogwa mbona kitu cha kawaida tuu na hizo ndio taratibu na tamaduni zetu za kiafrika. Mi nirogwe tuu ila nisiwe zuzu au nisifanywe nishindwe kutafuta hela. Kuna vitu ni vitamu jamani acheni viroge tuu.
  8. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Ndege ni wanajeshi wazuri katika vita na ongeeni nao tu

    Ndege aina ya Falcony wanafundishika na wanaweza kutoka sehemu A-B na kurudi kwa anaemmiliki sasa kipi kinashindikana kuwatumia kama jeshi la kipelelezi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Ndege ni wanajeshi wazuri katika vita na ongeeni nao tu

    Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja. Zipo tuhuma mbali mbali kwa Israel, Rusia na Iran kutumia ndege katika uspy, lakini kwa kuwa wenzetu hufanya mambo yao kwa siri kubwa inawezekana sisi ndio tushangaao. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Nadhani mleta uzi hukupaswa kufurahia/ kuonyesha ushabiki kwa uchache wa watu waliojitokeza kwenye Balozi zetu huko nje unapaswa kukaa na kujiuliza Tanzania kumewahi kuwa na mentality ya namna hii hata kwa mtu mmoja? Kuna mtanzania hata mmoja hapo nyuma alikua anauthubutu wa kwenda kwenye Balozi...
  11. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un atangaza kusitisha majaribio ya Nyuklia

    Ila ukumbuke tuu kuwa pale kuna Red Line Zone ambayo U.S wala RUSIA hawezi fanya mashambulizi bila kumtaarifu mwenzake ili kujaribu kuondoa athari kwenye mali za jeshi la mwenzake. Ila fatilia pia mahojiano ya Al Jazeera na Sergey Lavrov waliyorusha leo-ameongelea suala hilo pia la kupewa...
  12. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un atangaza kusitisha majaribio ya Nyuklia

    Poa mkuu umeshinda hawakufanya mawasiliano kabla.
  13. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un atangaza kusitisha majaribio ya Nyuklia

    Kaangalie post Na.27 kuna link inayoonyesha uwepo wa mawasiliano kabla ya kufanyika kwa shambulizi husika na uwepo huo wa mawasiliano ndio kulikoifanya UK kukubali kujiunga kwenye shambulizi husika.
  14. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un atangaza kusitisha majaribio ya Nyuklia

    www.telegraph.co.uk/news/2018/04/12/us-russia-hotline-syrian-air-strikes-could-help-avoid-conflict/amp/ Kajisomee hapo mkuu utaona prior communication na identification of targets ndio utaamini kuwa mawasiliano yalikuwepo kabla ya shambulizi
  15. Ngirimaji

    JamiiForums Tanzania Kim Jong Un atangaza kusitisha majaribio ya Nyuklia

    U.S.A bado yeye mwenyewe ni kunguru tuu ushabiki ulikua mkubwa sana walivyoshambulia Syria kuja kufatilia undani wa habari kumbe kabla ya kufanya shambulizi lenyewe walimpigia simu RUSIA baada ya RUSIA kutoa ridhaa ndio wakatekeleza shambulio. Achana na hiyo waangalizi wa kemikali wameenda RUSIA...
Back
Top Bottom