Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,742
- 44,199
Chukua canal+ Mkuu wana channels nyingi za movie kwa gharama ndogo.Mimi ningepata king'amuzi chenye ma channels ya kutosha yamovies ningekua mteja,mpira sio inshu sana kwangu.
Nna Dstv, wana channels lkn gharama zao kibongo kibongo sio rafiki,azam niliwahama zaidi ya zile mbc2 hawana channel za movie za maana.
Android tv box nikiifikiria naona gharama itakua kwny matumizi ya bando so sija save chochote,any msaada wajomba.
Sent using Jamii Forums mobile app