Recent content by ngikangalu

  1. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Taarifa ya mkurugenzi WA ufundi WA timu maria anadaiwa kupewa maelekezo na owner WA timu anunue wachezaji LKN azingatie value for money, hili ndilo tatizo LA malalamiko ya conte kwamba hajui nani watakaosajiriwa. LKN, marina amemjibu kuwa wachezaji wanaosajiriwa ni conte ndiyo aliwataka, SASA...
  2. N

    Kisheria, uwezekano wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' kutokuhukumiwa ni mdogo sana

    Nawashauri NDG, it is a contempt of court kutoa uamuzi mtaani kwa suala lilipo mahakamani, be carefully
  3. N

    Kanisa la TAG halijihusishi kabisa na siasa kama wale walokole wengine...!

    Nafikiri mnakosea kulinganisha haya makanisa madogo na kanisa katoliki, CATHOLIC CHURCH IS UNIVERSAL CHURCH, it is state church, VATICAN STATE
  4. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Timu haipati matokeo tunayoyatarajia KBS, draw 6, win 1 na loss 1, nini SASA! Halafu anafaa KWA Chelsea ambayo ni timu kubwa ulaya, tulishachukua kombe la klabu bingwa ulaya 2012 na tuliwahi kuchukua UEFA NDOGO 1997, Zola supersub akiwaua STUGATT ya German dk ya 75. Asena ni timu ndogo MNO...
  5. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bakayoko ni mchezaji wa kawaida TU, LKN kocha anampanga kila mechi, hana concentration on the pitch, anajisahau, hawezi kutoa pasi za mwisho, ni mchezaji wa kutibua tibua TU. Haya, ukimtoa TU kante tunapotea sana, SASA huyu wa nini! Kocha alipaswa awe anampanga drink water na kante katikati...
  6. N

    Conte bado kumshindwa wenger

    Huyu hatumtaki, tunamtaka Hindik
  7. N

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Mimi naamini mikoa ya kanda ya kaskazini INA wanawake wazuri MNO, mikoa ya manyara, Kilimanjaro, na Tanga, ni wazuri WA sura na tabia pia zao ni nzuri MNO hasa ukimkuta amelelewa ktk maadili ya kumuogopa MUNGU
  8. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Unadraw mechi 8 halafu, unadraw mechi 6 mfululizo, unashinda moja then unafungwa, unasema una kocha WA kushinda makombe kama Europe champions league!!!! Tutapigwa nyingi TU na Barcelona. Bodi INA matatizo, tumeacha wachezaji wazuri akina Alex Sandro, koulibaly mabeki wazuri tu Italy, tunamwacha...
  9. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    NDIYO kila siku wanakamatwa kutukana mitandaoni, ni ukosefu wa maadili KBS uliolikumba taifa letu hasa kwa vijana. Jamii forum tumeingiliwa na tabia hizi za ovyo na zisizo na staha KBS.
  10. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mimi ni MTU mzima huwezi kuniambia sijielewi! Shida humu kuna baadhi ya vijana waliozaliwa miaka ya late 80s au early 90s, hawana maadili KBS, nafikiri hawakupata malezi utotoni yoyote ya maana.
  11. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kocha ni tatizo MNO, ameshindwa kupanga wacheza, hatuna goal scorer KBS, tunafungwa goli LA kwanza kizembe tunafungwa goli la pili kizembe hivyo hivyo. Yaani bakayoko ni galasa
  12. N

    Jipatie Kuku Kibiashara

    Upo wapi, toa namba za simu Tafadhali sama
  13. N

    Je, CHADEMA ikiamua kumfukuza Lowassa itabaki salama? Tujadili

    Mh LOWASA ni MTU ana busara sana, uzoefu ndani ya uongozi unambeba sana
  14. N

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    Tatizo HUMU huwa hamjadili hoja bali ni jaziba za kisiasa TU, mh LOWASA kumbe alitumwa na UKAWA muda mrefu TU, soma taarifa ya msemaji wake ambayo haijakanushwa na MKT wa CHADEMA
  15. N

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hatuna forward KBS, morata na batshwahi hakuna kitu
Back
Top Bottom