Recent content by NG'HOMELE

  1. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Ninauza lori tipper isuzu maziwa txd 50

    Je bado lipo hili body mkuu au lilishauzwa?
  2. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Nitoe Corolla XE 111 anipe Funcargo?

    Njoo nikupe Mazda Demio ya 2004 namba D utese mjini! Niko Tabora! Contact 0782372010
  3. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Ukweli uwekwe wazi, Serikali ya awamu ya tano iko hoi kifedha

    Sasa iko hoi haina fedha na wakati huohuo unaomba ulipwe madeni sasa ulipwe hewa?
  4. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu akamatwe kwa Ufisadi wa mamilion ya pesa!

    Naunga mkono hoja na pesa hizo ndizo alizozitumia kupatia ubunge. Alitakatisha pesa hizo kupitia Mkombozi saccos na juhudi zote tumekuwa tukizifanya sisi kama wanaigunga bila mafanikio yoyote..
  5. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa biashara kongwe zaidi duniani waanikwa

    wahaya mmetisha
  6. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Akiitwa mshamba, mnachekelea. Wao wakiitwa wapumbavu, mnanuna

    Wapumbavu ni kina nani Kinana au makamba?
  7. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally achana na lugha za namna hiyo, hazijengi

    mkiambiwa waislamu ni wabaguzi msikatae mana hata mada isiyohitaji kutaja dini wao lazima wajipambanue! Hivi boko haram, alsha-bab na hamasi ni dini gani wale na je hyo dini inawatuma kuua waislamu wenzao? Hvyo basi tabia ya mtu isihusishwe na dini yoyote ili tusonge mbele
  8. NG'HOMELE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 39, Taifa Stars yafuzu kucheza michuano ya AFCON 2019 baada ya uicharaza Uganda goli 3-0, Uwanja wa Taifa-Dar

    kwahiyo tusipeleke timu? Basi kama vipi mpeleke mkeo aka tumbuize jinga wewe
  9. NG'HOMELE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

    Wapumbavu km nyinyi hamkosagi
  10. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

    mod rekebisha mikoa iliyofanya vibaya, Tabora haiko ktk kundi la mikoa iliyofanya vibaya bali iko ktk kumi bora ya mikoa iliyofanya vyema!
  11. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi albadiri nilizozishuhudia leo hakyanani tujiandaeni kwa Msiba mzito Tanzania

    hamna lolote zaidi ya unafiki wa saccos ya kaskazini.
  12. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli kama Abigaili leo, Mungu amuepushe na Akili za Mwendokasi

    Yatupasa kuheshimu mamlaka!
  13. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Wazo: Ianzishwe kampeni changia Lissu kadri anavyokaa mahabusu

    Pumbaf..u kweli mnataka mzipige km za marehemu Ndesa?
  14. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Wapi alipo Deo Kisandu?

    umepita pale Milembe ukamkosa?
  15. NG'HOMELE

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa CHADEMA ile ya Enzi ya JK umepotelea wapi? mbona wananyanyaswa sana

    CHADEMA wamegeuka kuwa manyumbu..
Back
Top Bottom