Wazo: Ianzishwe kampeni changia Lissu kadri anavyokaa mahabusu

kuna watu ni wapumbavu sana, yaan ukamchangie mbunge anayepata mshahara Mkubwa, posho kubwa, pamoja na benefits nyingii tu. si bora ukachangie watoto waliozaliwa na matatizo ya moyo pale muhimbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndo akili za kushikiwa mkuu, na yeye anajisifia kaanzisha thread /post. Ndio maana nasema kupenda kunapunguza uwezo wa kufikiri mambo yenyewe ndio hayo eti kampeni kumchangia Lissu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wananchi wake huku jimboni tumeshamkanya sana dhidi ya kuifuatafuata serikali hivyo hatuna haja ya kuchangiwa tumeazimia kumuondoa 2020 ili ashughulike na mambo yake ya mahakama!
Jimboni kwake hana mwenye kipara na asiye na busara
 
Lissu kasema kwamba maisha yamekuwa magumu, arafu unasema tumchangie hiyo pesa naitoa wapi?

Au unataka jpm aongeze mbinyo.
 
Ila jamani ndo Ukawa tunafilisika kiasi hiki. Hatuna ajenda hatuna mwelekeo Sasa Mange mchango. Lisu mke wakili yeye Mbunge. Jimboni hakai achangiwe kazi ipo
 
Acha uongo wewe! Katiba ya nchi na sheria zote husika ni lazima ziheshimiwe na wote akiwemo huyo dikteta uchwara. Hayuko juu ya katiba wala sheria za nchi. Acha kukurupuka na kuandika pumba humu.
Naheshimu maoni yako!
 
Kama kungekuwa hakuna agenda kule Bungeni wangeachiwa waongee pumba tu ili wajimalize, lakini ulichoandika hapa hakina ukweli wowote ule na ndiyo sababu agenda zao zinazuiliwa ndani ya Bunge na nje ya Bunge. Chama ambacho hakina agenda hakiwezi kuogopwa na kile ambacho kiko madarakani kuzungumza bungeni au nje ya Bunge kwa kuandamana, kufanya mikutano yake ya ndani na nje maana wanajua wataongea pumba na hivyo kujimaliza wenyewe. Tafakari kwa kina Mkuu.

Ila jamani ndo Ukawa tunafilisika kiasi hiki. Hatuna ajenda hatuna mwelekeo Sasa Mange mchango. Lisu mke wakili yeye Mbunge. Jimboni hakai achangiwe kazi ipo
 
Back
Top Bottom