MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Mimi kama mtanzania ninayechukia Ufisadi na ubadhirifu wa pesa za kodi za walalahoi wanaoteseka nitashangaa sana kuona TAKUKURU wanamwacha mbunge huyu ilihali ripoti ya CAG imeanika kila kitu wilaya ambayo yeye alikua mkuu na mlezi wa makundi ya vijana.
Ripoti ya GAG imechambua na kuainisha jinsi Mbunge wa singida Magharib Elinariki Kingu alivyohusika kwenye upotevu wa zaidi ya million 101 katika wilaya ya Igunga kipindi yeye akiwa mkuu wa wilaya.
Ripoti inasema kua mwaka 3013 serikali kupitia kwa waziri wa habari utamaduni na michezo aliwahi kupeleka Tshs Million 95 kwa ajili ya mfuko wa vijana katika wilaya hiyo,halmashauri nayo ilichangia Tshs milion 5,lakini cha ajabu kilichokusudiwa hakikufanyika! pamoja na hayo yote bado mwaka 2014 walnaewa zaidi ya Tshs Million 6 kwa ajili ya safari ya mafunzo nje ya nchi huko china ambapo CAG anasema hakuna sehemu yeyote inayoonesha kua safari hiyo ilifanyika.
UHUSIKA WA ELIBARIKI KINGU.
Wakati huo Mh Elibariki Kingu akiwa mkuu wa wilaya ya halmashsuri ya Igunga ndiye alikua Mlezi wa vikundi vya vijana ndani ya wilaya hiyo muda wote na ripoti ya CAG inasema kua akaunti yenye jina lake pia ilihusika katika upokea pesa hizo. Sasa je ni kwanini pesa hizi zote mujibu wa ripoti ya CAG zilipotea yeye akiwa mlezi wa vikundi hivyo na akaunti yake pia ilihusika katika kuzitunza pesa hizo?
Kwanini TAKUKURU wanachelea kumkamata mbunge huyu na kumhoji Kama walivyowahoji wale wabunCge wa kamati za bunge kwa madai ya kudai rushwa?TAKUKURU wasubiri ripoti ya nani zaidi ya hiiya CAG?Inamaana hizo pesa za umma ndio zimekeisha liwa hivyo?