Recent content by ngetemo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Nimejaribu kufikiria haya mambo naona hata mfumo wa utawala enzi za mababu zetu ulichangia, sijaona koo za machifu na wasaidizi wao Kuna vitu Kama hivi. Suku mtawala anaweka mfumo wa kumsaidia katika ulimwengu wa roho na wa mwili ikiwa ni pamoja na kuwafanya wengine waendelee kuwa chini...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tabia ya shule za private, wahusika kuweni makini

    Sikio la kufa halisikii dawa na mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

    Too late the game is almost over!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Hii ni vita kama vita nyingine lazima tuendelee kutafuta ukombozi na sio kukata tamaa!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mashine ya MRI ya Muhimbili yaharibika tena, CT-Scan haijatengamaa!

    Yale magari ya washawasha hayafai kwa kilimo cha umwagiliaji?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia achukua fomu ya kugombea Unaibu Spika CCM

    Rejea mita 200 kutoka kituo cha kupiga kura!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ufutaji uchaguzi Zanzibar, nani nyuma ya pazia?

    Huo wino walio paka kwenye vidole utakuwa umeisha ndani ya siku 90?
  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamuweka Magufuli mtu kati Jijini Mwanza

    Nawaomba sana wanambeya wawe makini make huyo mzee anaweza akarudia ya jangwani makusudi ili watu wahamaki fujo itokee halafu waahirishe uchaguzi kwa kisingizio cha hali kuto kuwa salama! Kwa hiyo wanabadiliko wanahitaji kuwa makini sana kuelekea kipindi hiki cha lala salama
  9. N

    JamiiForums Tanzania UCHUNGU: Lowassa hawezi kuwa Rais tena popote duniani

    Ni kweli hata Kikwete hakuwa na mashabiki!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ufisadi-UKAWA wakwepa hoja hii ya Magufuli

    Asante sana!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Wapi jembe pinda! Bilal je aaaa bwana! Waongezwe! Tutapigwa!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama una simu pita hapa upige kura

    iPhone
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wahehe: Uwene Waulige sefu

    Akelu kungisi!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

    Nilipita pale 1993-1996 du vr great! I miss my school alot! Taitukalesa!
Back
Top Bottom