Recent content by ngege john

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

    Messi alishindwa kuinua kwapa Copa America, CR7 aliinua kwapa EUROPE, Messi hali ngumu Copa America msimu huu tena while CR7 ameinua tena kwapa EUROPE NATION TEAM.
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joao Felix: Mchezaji wa 3 ghali zaidi katika historia ya mpira atua rasmi Atletico madrid

    Ni bora timu ziongezeke zinazotoa ushindani kwa vilabu vya Barcelona na Real Madrid, maana ni ligi ya Real Madrid na Barcelona kila msimu.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

    Deals za viongozi jamaa kazibana so wanaona bora waweke kauzibe cha hapa na pale ili ajitoe mwnyewe. This is bongo football bhana.
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    Kwenye BIBLIA majukumu yaliyotolewa na MUNGU yalisema; "Mwanaume umpende mwanamke" "Mwanamke umuheshimu Mwanaume" Hapo kuna maagizo mawili tofauti.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    kinachotutofautisha sisi waafrika na wenzetu wazungu ni katika jambo moja tu la UTAMADUNI katika kutafsiri 'HAKI SAWA'.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    This is a FEMINISM THEORY and was formulated in AMERICA and WESTERN EUROPEAN COUNTRIES. This advocacy of women's rights on the grounds of POLITICAL, SOCIAL, and ECONOMIC EQUALITY to MEN. EQUALITY FEMINISM and AMERICAN LIBERILISM SEEK EQUALITY FOR EVERY INDIVIDUAL. Dhana hii katika nchi zetu za...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    This is a FEMINISM THEORY formulated in EUROPE and AMERICA when a WOMEN started demanding women's rights on the grounds of political, social, and economic equality to men. Equality feminism and American liberalism seek equality for every individual. But this concept are suitable to western...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    na bado watakimbia wengi sana mpk 2020...walizoea kila siku fomula moja ya maisha.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Gesi imepanda bei kuanzia leo tar 9/2/2017

    ni nchi ya matamko hii,hii ndiyo sababu ya kutokuwepo kwa strong organ zinazo deal na mambo ya msingi.Kila kukicha ni siasa tu tena zisizo na taswira chanya.
  10. N

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    binafsi nashindwa kujua km our country it have strategic plan for our development but it seems there is more politics issues and coalition rather than focusing on the NATION AGENDA how we as Tanzanian,we can compete with fellow african in the economic development. Time is money,we're playing...
  11. N

    JamiiForums Tanzania MB nazo zapunguzwa kimya kimya

    voda nao badala ya mb 100 sasa imekuwa ni mb 70 kwa tshs 500/=
  12. N

    JamiiForums Tanzania MB nazo zapunguzwa kimya kimya

    hata badala ya mb 100 now ni 70 kwa 500/=
  13. N

    JamiiForums Tanzania Muziki wa darasa wapigwa baada ya taarifa ya habari Clouds

    wimbo wa taifa huwa haupotei...hukumbukwa hata ktk matukio maalum
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

    kila kibaya kina uzuri wake...na kila kizuri kina ubaya wake.
Back
Top Bottom