Recent content by Ngatiani

  1. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

    Wewe ni mrefu au mfupi? Tuanzie hapo kwanza.
  2. Ngatiani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

    Wanawake watakaokupenda na kukuhurumia ni wale uliochangia nao damu. Yaani Mama yako, watoto zako na labda dada zako.
  3. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wa mtandaoni bongo, mna shida sana

    Wauza vifaranga vya kuku nao wanashida hiyo.
  4. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Kuna ugomvi gani kati ya wanawake na serious (hard) newz

    Huenda hawapendi stress!
  5. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Ni starehe! Sio adhabu.
  6. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bora umechunguza! Huenda kuna uhuni wanatufanyia.
  7. Ngatiani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume, hakikisha unafanya yafuatayo baada ya kuoa

    Mwishoni ameeleza kwamba ameitoa Twitter = X.
  8. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Ni maumivu na dhuluma tu ndio imelengwa hapo. Sio kumsaidia mstaafu.
  9. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Wasafiri wa ndege kuweni makini na wizi kwenye ndege

    Kumbe kwenye ndege hakuna cctv camera!
  10. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfanyabiashara maarufu Arusha aibiwa Tsh. Milioni 100 kwenye akaunti ya Benki ya NMB

    Wakitaka kufanya yao kwenye akaunti yako wanafunga mfumo wa taarifa. Yalinikuta.
  11. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Bei ya Dagaa imepungua, karibuni wanunuzi

    Kweli. Wachina wamejitahidi kufanya biashara kwa uaminifu. Sisi bado sana.
  12. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Kwa uchafu wa mama ntilie wa Tanzania, Bibi na Bwana Afya wako likizo?

    Angalau chips ni salama kiasi ila usiwekewe kachumbari wala chachandu wala zile nyanya za chupa. Nyanya ya chupa unakuta pale juu pamejaa inzi na nyanya yenyewe imetiwa maji. Maji gani wameweka? Maji hayo ni salama? Tomato ikishatiwa maji usalama wake ukoje? Life span ya uhifadhi inakuwa...
  13. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba maelekezo ya kitumia wakala.
  14. Ngatiani

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari. Nawezaje kuweka pesa 1XBET
  15. Ngatiani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

    Mashari ya mganga. Wale wazee wa kunyonya nanihii, kwao ni sawa tu.
Back
Top Bottom