Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,981
Wengi ni weupe sana kwenye hizi newz.
Nilikuwa naongea na mmoja hana hata habari ya uwepo wa kimbunga hidaya.
Ukikuta wenyewe wametulia wanaangalia TV hapo lazima kuna; tamthilia, bongo muvi, miziki, umbea na udaku wa akina lokole na vingine vinavyofanana ivo.