Kuna Wanajeshi wengine waliokuwa kwenye uongozi walipotea kwa kukimbilia nje ya nchi..na mpaka Leo hakuna mawasiliano...
Unajua watu wanafanya mchezo na neno Uhaini... Ni process ya kimafia na hatari sana kwa nchi..
Inahusisha Military operation... Na huwezi kuwa mtu mmoja...Sasa Tanzania...
Mkuu hukumu wanayo...
Ngoja nikupe fact Moja ..na watu wengi hawaitilii maanani..
Unakumbuka mabishano kati ya Lissu na Mawakili wa Serikali kuhusu kuleta Samia,Mpango, Majaliwa, IGP, CDF nk..
Mahakama ikaweka kiporo kwamba tuendelee kutoa utetezi ..tutaliamua hili jambo mbele ya safari...lete...
Mimi ni dereva.. private
Halafu acha kuwa na upande ..hasa Hawa Askari..mi huwa naendesha gari kwa mambo yangu binafsi..lakini ukikutana nao barabarani ni balaa...
Anakukagua utafikiri una ebola...akiona huna kosa anaanza... Nipe nyekundu..jua kali.. Sasa Hawa jamaa utafikiri hawalipwi...
Lakini umesikia baadhi ya hoja...
Polisi (traffic) anakaa sehemu anasubiri basi kama 3 zipite... Sehemu ambazo wanasubiriwa ni zile zenye mstari mmoja ambapo huruhusiwi ku overtake
Sasa trafic anakuwa na private car... Anayapita mabus..makusudi Kisha anaendesha speed 30 mbele yao.. Sehemu...
Inawezekana... Ila Kuna watu walimfuata huko Ukonga usiku na kumpa option...
Sasa yeye Lissu akapiga mahesabu akajua hizo option zipo kwenye hukumu.. kumuondoa kwenye siasa na uwenyekiti wa CHADEMA .. maana jamaa anawapa pressure isiyo ya kawaida
Hata Sasa hivi mazingira ya kumuona ni magumu..
Mawakili hawazidi 7.. Kuna orodha maalum
Ndugu hawazidi 8 ..wakiongezeka inapigwa simu kwa mkuu wa gereza kujua ni nani huyo amekuja..
Mbaya zaidi... Kawaambia Majaji hati ya mashtaka Kuna maneno yametolewa ili kubadili maana ...yaani Yale maneno Yana vidoti Kisha sentensi inaendelea..
Ina maana Majaji watajiuliza kama Kuna maneno yametolewa ni yapi ? Hapo ndipo ushahidi wa video ungehitajika ili wasikilize na wao ...ila Sasa...
Hivi mkuu, unafikiri hata akihukumiwa Maisha, Mahakama ya Rufaa haiwezi kukubali hiyo hukumu iwe rejea..
Maana watu wengi watafungwa kwa Uhaini... kwenye kampeni ukikosea ukasema Uchaguzi huu haufai.. Uchaguzi huu wa hovyo wananchi tuukatae.. umekwenda na maji..unafungwa
Yaani Uchaguzi...
Mkuu, unajua mpaka kufika maamuzi ya kujitetea mwenyewe.. mazingira yalikuwaje?
Mwanzoni kesi wakati inaanza Mawakili wengi walizuia kumuona, na wakimuona wakawa wameweka distance kubwa katikati ya Lissu na Mawakili wake.. wakaweka na kioo ..na tundu dogo sana la kuongea.. huku askari wanne...
Ogopa kesi mbili za Uhaini zilizopita.. ya miaka 70 na ile ya miaka ya 80..
Kulikuwa na vielelezo vyote..
Yaani sijui documents(ambazo ndio publication)
Mipango, silaha, namna ya kupata Hela nk nk..
Hii ya Lissu ni maneno tuu.. mbaya zaidi hakuna documents zozote zilizopokelewa Mahakamani...
Lissu Toka mwanzo anatumia techinicality ...na utaona hata vielelezo muhimu kama video, forensic report, pamoja na ile documents za October 29 zilikataliwa Mahakamani
Lakini pia anajitahidi sana kuivunja vunja hati ya mashitaka... Ngoja tuone Katuga atakuja na mbinu Gani.. huko alipo halali kwa...
Walipanga kumfunga Lissu.. na kwa jinsi ile hati ya mashitaka ilivyokuwa, Kila mtu alijua amekwenda na maji
Mbaya zaidi..niliogopa pale Mashahidi wake (Heche, Amani) wakisema Mahakamani kwamba ni kweli alitamka Kukinukisha, kuvuruga Uchaguzi, Uasi.. nikasema mbona wanamchoma...kumbe sivyo...
Mimi nazungumzia Uchaguzi...sizungumzii Chadema..take that point..
Sasa nakupa kumbukumbu.. Kuna kipindi Kikwete akiwa anagombea Urais..ulisogezwa mbele miezi mitatu baada ya mgombea kufariki..
Haya turudi unakotaka sijui Chadema...
Katika msimamo wao wa No reforms no election..hawakusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.