Polepole hakutakiwa kusema hili jambo

Polepole hakutakiwa kusema hili jambo

Alipogusa interests za kina singasinga na genge lake , hapo ali cross line. Vikao vya siri vya kuondoa pain in the ass vilipitisha haraka kilicho mkuta polepole.

Japo kina wassira wanaongea kinafiki ila mioyoni wanaumia kumpoteza polepole. Watafanya nini sasa na kinywa kinaenda kinywani kwa unafiki wao?
 
Mimi sio kitengo na wala sio mwana siasa na wala sina chama chochote, ila mi ni mtu tu ambae nafatilia siasa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Katika kufatilia zile harakati za pole pole wakat ameanza injili ya ukombozi, kuna kitu alikisema na alivyokisema mi moja kwa moja nilimwambia Mzee wangu hapa huyu jamaa hawamuachi hata kwa uchawi watamuua tu..Mzee akacheka sana.

Ila ukweli ni kua pamoja na yale yote Pole Pole kuongea na wakubwa kuguswa Maungio yao waliumia sawa ila haikua kwa kiasi cha kuwaza kumpoteza..Pole pole alisema Mengi ila katika hayo Mengi ni Moja tu ndio lilopelekea wamusake na wamupoteze.

Pole pole aliposema tu kua Tunatakiwa tukikomboa hii Nchi Ile Ibara ya kusema Rais aliekua madarakani hashitakiwi ifutwe na tuanze na hawa.

Pale aligusa mwiba SAMIA akaona kumbe hutaki tu kuwafumbua macho watanzania bali unataka ninyongwe au nifungwe.

Na wafatiliaji wa zile Live zake nahisi mtakumbuka wakat anasema lile jambo aliomba samahan alijua athari zake zitakazo kuja...alijua kua ile kauli itamuuma sana SAMIA..ila lazima iwe hivo.

We ungekua Mkulu ungefanya aje?

Najua we una mawazo mazuri ungewaza tofauti ila wengine ndio hivo ni form four failure.
Mwenye kiu ya uuaji hahitaji sana sababu kubwa ya uanakharamu wake.Yule kijana Chaula alitamka kipi kibaya sana hadi kupotezwa?Muuaji ni muuaji tu.
 
Polepole alifanya ujinga mwingi sana kipindi Cha jiwe.. hasa manunuzi ya wapinzani kwa nguvu na kuharibu mfumo wa demokrasia..

Ila najua Polepole aliumia sana baada ya kuona Jiwe akipelekwa ahera kabla ya muda wake.

Kilichowaudhi wakubwa huko juu ni
- Issue ya makaa ya mawe hasa Rostam

- Issue ya Tume ya Uchaguzi na NIDA.. yaani wanachukua taarifa zako na kujaza kwenye mafomu yao na unonekana umepiga kura..kumbe uko zako nyumbani

- Issue ya viongozi kufutiwa kinga ya kustakiwa

- Issue ya kuteka watu kisiasa akihusisha Jeshi la Polisi na usalama wa taifa
 
Mawazo yako ya kipuuzi
Sio mawazo mdogo wangu.

Nina info zaid kwenye hili.
Unaweza kusema ni ya kipuuzi kwasababu ww hutak yawe jinsi yalivyo. Ila ndivyo yalivyo.

Na hii inapeleka had wao kwa wao wawe na chuki. Sasa utajiuliza Why Chuki?.

Nchimbi akipewa maji na Nchemba hawez kunywa. (Na vice versa).
Ni mifumo miwili tofauti.

Naomba anzia kuangalia kauli za Mama na jinsi zinavyoungwa mkono. Na Nchemba vs zinavyoungwa na Nchimbi.

Then utaona nan yuko upande wa Mama.
 
Hatufiki 2030 kabla Mungu hajaingilia kati.
Ile chance ya Octoba 29 ndio ilikuwa timing nzur . Maana jeshi lingeunga mkono Raia siku za mbeleni.

Bila wambura tungekuwa tunasema memgine .
Na Wambura pamoja na kumaliza muda wake. Akaongezewa miaka 2. Na ataongezewa mingne 2. Maana Mama anamuamini.

Now ni hadi 2030.
Na Wana mfumo wameridhika maana naona wanayotaka ndio yanafanyika.
 
Sio mawazo mdogo wangu.

Nina info zaid kwenye hili.
Unaweza kusema ni ya kipuuzi kwasababu ww hutak yawe jinsi yalivyo. Ila ndivyo yalivyo.

Na hii inapeleka had wao kwa wao wawe na chuki. Sasa utajiuliza Why Chuki?.

Nchimbi akipewa maji na Nchemba hawez kunywa. (Na vice versa).
Ni mifumo miwili tofauti.

Naomba anzia kuangalia kauli za Mama na jinsi zinavyoungwa mkono. Na Nchemba vs zinavyoungwa na Nchimbi.

Then utaona nan yuko upande wa Mama.
As long as Polepole alisema Nchimbi hafai,mimi naamini Nchimbi hafai
 
Sasa South Afrika, Kenya na kwingineko huko kuna nini kipya zaidi ya uanaharakati uchwara tu? Watu bado maskini vile vile. Hii dunia haiendeshwi kwa maneno na siasa, inaendeshwa na wenye nguvu, wenye akili, wenye subira, wenye vitendo, wenye matokeo.

Wale weusi wa Afrika Kusini wapo bize na maneno wakati mzungu yuko analima, anafanya tafiti, anathubutu, anafanya, akikosea anajikosoa na kurekebisha na kusonga mbele. Wale vichaa akina Malema wapo bize kulaumu, kulalamika na kuwafanyia vurugu waliokwisha fanikiwa.

Polepole ndo wale wale!! Too much tantalila wakati watu wanamove-on na kupiga kazi. Sionei huruma mi mtu asie na akili.
Polepole alishapata nafasi kuwa karibu na watawala na tabia yake halisi alionyesha sijui kwanini anaonekana ni kama masihi ilihali matendo yake na anachoongea hata haviendani

Utasikia mtu anakuambia kenya niwapambanaji ila ulienda kenya unabaki unashangaa wananchi wengi wanaishi kwenye umaskini
 
Mimi sio kitengo na wala sio mwana siasa na wala sina chama chochote, ila mi ni mtu tu ambae nafatilia siasa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Katika kufatilia zile harakati za pole pole wakat ameanza injili ya ukombozi, kuna kitu alikisema na alivyokisema mi moja kwa moja nilimwambia Mzee wangu hapa huyu jamaa hawamuachi hata kwa uchawi watamuua tu..Mzee akacheka sana.

Ila ukweli ni kua pamoja na yale yote Pole Pole kuongea na wakubwa kuguswa Maungio yao waliumia sawa ila haikua kwa kiasi cha kuwaza kumpoteza..Pole pole alisema Mengi ila katika hayo Mengi ni Moja tu ndio lilopelekea wamusake na wamupoteze.

Pole pole aliposema tu kua Tunatakiwa tukikomboa hii Nchi Ile Ibara ya kusema Rais aliekua madarakani hashitakiwi ifutwe na tuanze na hawa.

Pale aligusa mwiba SAMIA akaona kumbe hutaki tu kuwafumbua macho watanzania bali unataka ninyongwe au nifungwe.

Na wafatiliaji wa zile Live zake nahisi mtakumbuka wakat anasema lile jambo aliomba samahan alijua athari zake zitakazo kuja...alijua kua ile kauli itamuuma sana SAMIA..ila lazima iwe hivo.

We ungekua Mkulu ungefanya aje?

Najua we una mawazo mazuri ungewaza tofauti ila wengine ndio hivo ni form four failure.
Masikini Polepole.
 
Polepole alisababisha mpaka Rostam atoke huko machakani alipokuwepo baada ya miaka mingi kutoonekana kwenye media na kufanya interview iliyoandaliwa kimkakati kumsafisha akiwa na Tido Mhando.

Polepole aliwakaanga vibaya sana Kikwete na Rostam..

Na walitumia nguvu kubwa mno kumtafuta yule jamaa, kama ni dau basi walitangaza dau kubwa mno.. walianza kukata internet kila jamaa alipokuwa live ikafikia muda wakaona ni kutwanga maji mwenye kinu.

Polepole angewaua wale wazee kwa pressure. Asingetekwa sijui ingekuwaje.
Aligeuka mwiba kwa wana mtandao
 
Back
Top Bottom