Makala ya Bw Deodatus Balile katika gazeti la Mtanzania toleo no 0856-5678 lenye kichwa cha habari "Dk Slaa avunja ndoa" imenishangaza sana. Imenishangaza kwa sababu kadhaa, kwanza, mtu kama Balile, ambaye ana kadigrii ka uzamili bado hana upeo wa kujua kuna maisha binafsi ya mtu, ambayo...