Hivi hamsomi mkaelewa nimeseme mimi ni mgeni kdg,,, si mara ya kwanza kufika moshi mjini,,,, napajua kidogo mfano nishafika mawenzi hosp, ila kcmc cjawahi fika hata cpajui ila najua njia ya kwenda huko, najua posta, library, crdb, nbc, ndio maana nikasema ni mgeni kdg, ndio maana naulizia huduma...